Gari yangu Toyota Rav4 inakula sana mafuta

Gari yangu Toyota Rav4 inakula sana mafuta

Overhaul umemalza kazi mm nmeoverhaul rav 4 vx 1 litre around 10-12km 1770cc

mm tatzo lilikua cylnderhead.

Mkuu

Hivi ya kwako mpaka sasa imesimama fresh kabisah!?

Maana kuna maneno kuwa ukioverhaul engine lazima baada ya muda urudie tenah, naomba mrejesho kwa ya kwako maana nakumbuka story yako ilikuwa ka movie vileh ile tulijifunza sanah..
 
Imekaa mkao kabisa haijasumbua tena na hua napiga safari ndefu na safari za moshi arusha mara kwa mara
Gari ina pulling yakutosha... naiaminia kwa sasa, imetulia...

Mkuu

Hivi ya kwako mpaka sasa imesimama fresh kabisah!?

Maana kuna maneno kuwa ukioverhaul engine lazima baada ya muda urudie tenah, naomba mrejesho kwa ya kwako maana nakumbuka story yako ilikuwa ka movie vileh ile tulijifunza sanah..
 
Natumia gari langu dogo Toyota rav4j lakin limeanza kula mafuta vibaya, naitaji ushauri wa kiufundi kwani nalipenda sana gari langu, nicheze na mfumo gani ili iwe inakula vzr, gari lenyewe lina CC1998, mwanzoni lilikuwa na racial ya 1LTR for 8km, naitaji msaada kwa mtu mwenye experience na iz gari
Pole sana,... tatizo la gari yako ni sensor ya mafuta, either imekufa or pipe yake imeziba .... nenda kaisafishe/ kabadilishe, nashauri nunua used ni nzuri zaidi.....,ni 5000 +- kwa used spare shops...gari mpya hiyo.

Speaking from experience.

#nitaomba mrejesho.
 
Pole sana,... tatizo la gari yako ni sensor ya mafuta, either imekufa or pipe yake imeziba .... nenda kaisafishe/ kabadilishe, nashauri nunua used ni nzuri zaidi.....,ni 5000 +- kwa used spare shops...gari mpya hiyo.
Speaking from experience
# nitaomba mrejesho .
Nitakupa mrejesho ucjal
 
Nikiweka Lita 20 zinaisha kwa kutembelea km 30 tu

Duuuh, ni heri utembee kwa miguu kuliko kudhani una gari kumbe unamiliki "chuma ulete"....

Amua kufanya jambo mkubwa vinginevyo, utafilisika jombaa....!!

Peleka gari yako kwenye gereji zinazotumia teknolojia ya kisasa waikague na kutibu ugonjwa wa gari yako...

Ni heri utumie fedha kuweka vyema mfumo wa injini ya gari yako kuliko kumiliki "chuma ulete"!!

NB:
Kwa kawaida hiyo RAV4 1999cc ya mwaka 1998 iko kwenye first generation...

Kawaida kama mfumo wa injini uko kawaida, ulaji wake wa mafuta uko hivi:

å Highway drive ni 10 - 12km/ltr

å Town drive ni 7 - 9 km/ltr

Kwa maana hiyo hizo lita 20 ulipaswa utembee nazo kwa umbali wa kati ya 140 - 160km ingalau....

Pole sana...
 
mie shida yangu gari imekuwa nzito mwanzo ikiwa kwenye drive kama sehemu ni flat inatembea bila hata kukanyaga acceralator ila sasa haiendi hadi nikanyage, ishu nyingine rpm inafika hadi 3 na speed niko 60 tu zaman nilikuwa sizidi 2 kwa speed hiyo.
Hahahah kweli gari zito mjomba
 
Back
Top Bottom