Gari za kichina ni hatari?

Gari za kichina ni hatari?

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
Wadau wa JF, binafsi, pamoja na basi za kichina kuwa mkombozi wa usafiri hapa nchini, lakini tuanze kumulika athari zake.Kwa leo nataja shida moja kubwa ya kiufundi inayojitokeza mara kadhaa sasa kwenye mabasi haya, nayo ni kuungua moto. Kuna kesi kadhaa za mabasi haya kuungua moto japo mpaka sasa hatujasikia vilio.Ninashauri wadau wachukue hatua muhimu kuhusu mwenendo huu.Ikumbukwe "bure ghali".
Screenshot_20181107-223231.jpeg
 
hayapumziki muda wa kutosha haya magari
zinapiga route kupitiliza
Huenda ni kweli, basi kuna tatizo hapo.Huenda gari hizi hazina uwezo wa kufanya safari ndefu ,hivyo, tufikirie kingine kuepusha janga linalotunyemelea.
 
Back
Top Bottom