Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,877
- 2,314
Wadau wa JF, binafsi, pamoja na basi za kichina kuwa mkombozi wa usafiri hapa nchini, lakini tuanze kumulika athari zake.Kwa leo nataja shida moja kubwa ya kiufundi inayojitokeza mara kadhaa sasa kwenye mabasi haya, nayo ni kuungua moto. Kuna kesi kadhaa za mabasi haya kuungua moto japo mpaka sasa hatujasikia vilio.Ninashauri wadau wachukue hatua muhimu kuhusu mwenendo huu.Ikumbukwe "bure ghali".