Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 851
Bei gani kwenye showroom? Yenye Hali nzuriToyota IST itakufaa sana
Naenda bandarini moja kwa moja ama? Natafuta wauza magari?Kuna Gari preOwned!! Zipo bandarini na zingine kwa wapiga mnada!! Bei powa kalenge moja...uifuatilie!!
I'm riding my 1968 tired beat up Volkswagen beetle like a gorilla boss!Habari za humu ndugu zangu
Baada ya kujikusanya kwa miaka kadhaa hatimaye na Mimi nitaanza kutembea nimekaa Kama wengine
Nimefikisha million kumi net
Nataka ninunue gari ,Ila Sina kabisa idea ya mambo ya kuzingatia, ninunue wapi? (Kwa mtu au show room), aina gani,na mambo mengine,nauliza wenye magari kila mtu ananiambia lake sijui nifate ushauri wa Nani
Kikubwa iwe inatumia mafuta kidogo
Karibuni kwa ushauri
Kwendea kazini na mishe zingine town, Ila siku nilitaka Kwenda home kilometer 500 hivi niweze pia Kwenda naloYa mafuta kidogo mbona yapo mengi sana mkuu!ila hayana ladha unapoyaendesha,gari unaikamua haitaki kwenda,nguvu ndogo,labda kama unataka cha kuzungukia nacho kwenye foleni za mji kama Dar,lakini kwa safari ndefu hizo ni shida tu......
Aina gani sijaionaNUNUA KAMA ILE ALOZAWADIWA Q-CHILLAH
Unapendelea zenye muundo gani...?Kwendea kazini na mishe zingine town, Ila siku nilitaka Kwenda home kilometer 500 hivi niweze pia Kwenda nalo
Hahaha eti magari ya saluni,Kwa fuel efficiency chukua, vitz(ya zamani), passo, ukihitaji space ndani tafuta corolla spacio, sienta/sienta dice, raum au corolla runx.
NB: mimi sio mpenzi wa magari ya saloon(ie. carina brevis, crown, altezza na kadhalika) .
HeeeeI'm riding my 1968 tired beat up Volkswagen beetle like a gorilla boss!
Fvck everybody else.....y'all gotta relax!
Muundo sijui (Mimi ni mshamba jamani[emoji1751][emoji1751] najuaga tu gari moja IST coz rafiki yangu kazini analo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na cruzer ya Mzee [emoji1732]Unapendelea zenye muundo gani...?
Hizi ndo zisipendi kabisa Kama kitimoto hapana hapana