Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 851
Habari za humu ndugu zangu
Baada ya kujikusanya kwa miaka kadhaa hatimaye na Mimi nitaanza kutembea nimekaa Kama wengine
Nimefikisha million kumi net
Nataka ninunue gari ,Ila Sina kabisa idea ya mambo ya kuzingatia, ninunue wapi? (Kwa mtu au show room), aina gani,na mambo mengine,nauliza wenye magari kila mtu ananiambia lake sijui nifate ushauri wa Nani
Kikubwa iwe inatumia mafuta kidogo
Karibuni kwa ushauri