Gari za kidada

Gari za kidada

Cc900 Na CC 1790 maanake ni nini
Mmh kama na hii hujui tafuta ndg yako unaemwamini hata babayako muombe akutafutie IST nzuri ya CC 1290 hutojutia. La sivyo utapigwa na matapeli, umeskia ile stori ya yule mzee mstaafu morogoro?? Hahah
 
Muundo sijui (Mimi ni mshamba jamani[emoji1751][emoji1751] najuaga tu gari moja IST coz rafiki yangu kazini analo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na cruzer ya Mzee [emoji1732]

Ila sipendi gari flan zinafanana na kiti Moto kimuundo
Zingine zote napenda
Hii inayofanana na kiti moto ni Toyota Noah, hata toyota porte kwa mbaali
 
Ila Toyota walipounda haya magari sijui walikuwa wanawaza nini..?
Toyota Will
Toyota Porte..
Toyota fun cargo..
Hata vitz old model jamani kwa hapa nyuma ina muomekano no mbayaaa....yaani utafikiri jogoo ambaye hana mkia..[emoji41][emoji41]

Nadhani wale body designers wa toyota walikuwa wamechoka sana
Itakuwa Funcargo hio bila shaka ama Rumion.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio designer wao sijui walikuwa wanalewa kwanza ndio wachore miundo ya magari maana magari madogo mengi ya 2003-2007 yamekaa kama vikatuni. 2011-2015 wakahamia kwenye makubwa na kuyavurunda haswa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hebu angalia hii gari,
View attachment 1163987
Kwa ujumla Toyota na Nissan kwa upande wa body designing bado wanajifunza....magari yao hayana muoneka wa kibabe....body zao nyingi zimekaa kimayai mayai sana

Japanese cars mimi naona Mazda na Mitsubish wanajitahidi sana kwa upande wa body designing.
 
suzuki_swift_a1247286602b2840884_2.jpg
Tafuta hii safari...hazipatagi Ajali.
 
Back
Top Bottom