Gari za kidada

Gari za kidada

Kwendea kazini na mishe zingine town, Ila siku nilitaka Kwenda home kilometer 500 hivi niweze pia Kwenda nalo
chukua gari yoyote ambayo ni hatchback car au compact ila kwa profile yako hata IST haikufai we tafuta Passo, Sienta, Porte au Vitz.
Usidanganywe kuchukua saloon/sedan hautaiweza!.
 
Habari za humu ndugu zangu

Baada ya kujikusanya kwa miaka kadhaa hatimaye na Mimi nitaanza kutembea nimekaa Kama wengine

Nimefikisha million kumi net

Nataka ninunue gari ,Ila Sina kabisa idea ya mambo ya kuzingatia, ninunue wapi? (Kwa mtu au show room), aina gani,na mambo mengine,nauliza wenye magari kila mtu ananiambia lake sijui nifate ushauri wa Nani

Kikubwa iwe inatumia mafuta kidogo

Karibuni kwa ushauri
Endelea kuota ndoto ikiisha nunua pepsi ya baridii unywe ukate wenge.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732]zipo sizijui jina ofisini Kuna mtu analo Yani utacheka mbele nyembamba kidogo nyuma pana ingefanana na hiyo alopewa qchila Ila enyewe IPO chini kidogo
Itakuwa Funcargo hio bila shaka ama Rumion.
 
chukua gari yoyote ambayo ni hatchback car au compact ila kwa profile yako hata IST haikufai we tafuta Passo, Sienta, Porte au Vitz.
Usidanganywe kuchukua saloon/sedan hautaiweza!.
Kwa profile yangu ist haifai kivipi
 
Hongera kwa kuanza kutembelea "Matako"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuomba utulize kichwa kwani this time utapata marafiki wengi wanaojifanya washauri wazuri na wataalan wa magari.
Nakushauri ungroendekeza ili upewe faida na hasara za aina hizo
Habari za humu ndugu zangu

Baada ya kujikusanya kwa miaka kadhaa hatimaye na Mimi nitaanza kutembea nimekaa Kama wengine

Nimefikisha million kumi net

Nataka ninunue gari ,Ila Sina kabisa idea ya mambo ya kuzingatia, ninunue wapi? (Kwa mtu au show room), aina gani,na mambo mengine,nauliza wenye magari kila mtu ananiambia lake sijui nifate ushauri wa Nani

Kikubwa iwe inatumia mafuta kidogo

Karibuni kwa ushauri
 
Habari za humu ndugu zangu

Baada ya kujikusanya kwa miaka kadhaa hatimaye na Mimi nitaanza kutembea nimekaa Kama wengine

Nimefikisha million kumi net

Nataka ninunue gari ,Ila Sina kabisa idea ya mambo ya kuzingatia, ninunue wapi? (Kwa mtu au show room), aina gani,na mambo mengine,nauliza wenye magari kila mtu ananiambia lake sijui nifate ushauri wa Nani

Kikubwa iwe inatumia mafuta kidogo

Karibuni kwa ushauri
Ist,raum,porte,allex,runx au spaciio
 
Funcargo ndio upuuzi balaa, kigari kimekaa kama toy la watoto. Porte ndio usiseme...ni kama vigari vya kupakulia mizigo kwenya makontena vile vi forklift.
😀😀dah! Jamaa sijui walikua wanawaza nini kuunda magari kama haya
 
KAMATA DODGE B SERIES, HUTAJUTIA

1564200187261.png
 
😀😀dah! Jamaa sijui walikua wanawaza nini kuunda magari kama haya
🤣🤣🤣 ndio designer wao sijui walikuwa wanalewa kwanza ndio wachore miundo ya magari maana magari madogo mengi ya 2003-2007 yamekaa kama vikatuni. 2011-2015 wakahamia kwenye makubwa na kuyavurunda haswa 🤣🤣🤣🤣.

Hebu angalia hii gari,
036189900_1457410254-Sienta.jpg
 
Nimeamua ninunue Toyota Cami Bei Ni affordable na muonekano Ni mzuri
Bonge la uamuzi LoD1. Achana na IST, VITZ, PASSO cjui na nn.... Wabongo wanajua tu gari hz, zimeshakua yeboyebo! Mtu mjanja nakuhakikishia hawezi nunua huo uchafu hapo juu. Tena bajet yako ingekuwa vzr kdg ningekwambia go for Suzuki Jimmy gari ya KAZI.
Cami, Terios, JIMMY ni gari bomba sana ila body size tu ndio ndogo, 4 people sitting capacity.
Kila la heri, ukifanikiwa leta mrejesho hapa.
 
Nunua Toyota Vizt old model engine 1KR FE, cc 990
toyota-vitz-2006-5.jpg
toyota-vitz-2006-4.jpg
 
Back
Top Bottom