Gari za kidada

Cc900 Na CC 1790 maanake ni nini
Mmh kama na hii hujui tafuta ndg yako unaemwamini hata babayako muombe akutafutie IST nzuri ya CC 1290 hutojutia. La sivyo utapigwa na matapeli, umeskia ile stori ya yule mzee mstaafu morogoro?? Hahah
 
Hii inayofanana na kiti moto ni Toyota Noah, hata toyota porte kwa mbaali
 
Ila Toyota walipounda haya magari sijui walikuwa wanawaza nini..?
Toyota Will
Toyota Porte..
Toyota fun cargo..
Hata vitz old model jamani kwa hapa nyuma ina muomekano no mbayaaa....yaani utafikiri jogoo ambaye hana mkia..[emoji41][emoji41]

Nadhani wale body designers wa toyota walikuwa wamechoka sana
Itakuwa Funcargo hio bila shaka ama Rumion.
 
Kwa ujumla Toyota na Nissan kwa upande wa body designing bado wanajifunza....magari yao hayana muoneka wa kibabe....body zao nyingi zimekaa kimayai mayai sana

Japanese cars mimi naona Mazda na Mitsubish wanajitahidi sana kwa upande wa body designing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…