Gari za Serikali (STL na STN) zagongana uso kwa uso

Siku hizi magari mengi ya dizaini hiyo yanafungwa vimuli muli, nikajiuliza mbona walishakataza?
 
Kimeumana, hao wakiwa barabarani huwa wote ni wababe sana. Hapo wamekutana.
Poleni sana kwa uharibifu wa kodi zetu uliotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…