Gari za Serikali (STL na STN) zagongana uso kwa uso

Gari za Serikali (STL na STN) zagongana uso kwa uso

Hakuna hasara. Serikali inaweza kununua hayo kila siku ila ujenzi wa vyoo vya shule wanasubiri msaada wa wahisani.
Hii ni aibu sana mkuu hivi hao wanaoishauri serikali hayo mambo hawaoni au kwasababu watoto wao wabasoma shule za magari ya njano
 
Hakuna madereva humo na pia wanaoendeshwa inaonekana hakuna kitu wanajua zaidi ya kulala tu hao jamaa ukiwa unaongozana nao ni hatari zaidi ya kuwa karibu na Bus muda wowote yeye anawaza kukupita tu hata kama pana kona kali anaamini VX itamaliza haraka kumbe hakuna kitu ukikutana nao wewe punguza mwendo apite maana wanajifanya wana haraka muda wote kama pana kitu cha maana wanawahi huko mbele kumbe hamna kitu.
Kuna moja tulikutana porini huko😀😀😀
Vumbi,katangulia mbelee..kila ukitaka kupita wapi..uzuri tunakujua kule miaka..kona moja tukachane naye,kaja kunikuta mjini anauliza hii chuma mbona inapepea kwenye vumbi kiasi hicho..😀😀

Nikamshauri Mkuu endesha gari vizuri familia bado inakuhitaji sana..😀😀😀
 
Mbuzi wa Bw. Kheri kala mahindi kwenye shamba la Bw. Kheri. Sasa Bw. Kheri atashitaki wapi?
 
Back
Top Bottom