Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,421
- 30,962
Hapo bilioni ndo ishapotea hivyo. Ni matundu mangapi ya vyoo kwenye Shule zisizokuwa navyo?
Vyoo wanajenga wahisani. Kesho yanaingia mengine kazi iendelee.
Hapo bilioni ndo ishapotea hivyo. Ni matundu mangapi ya vyoo kwenye Shule zisizokuwa navyo?
Mambo yao tuwaachie wenyeweUgomvi wa ndugu huo
Haya haya wamekutana, HR hapo wanajiandaa kwa hamu kuwaadabisha maderevaSTL na STN uso kwa macho, madereva wa serikali huwa wana kasumba gani?
NB
Sijajua ajali hii imetokea wapiView attachment 3283149
Na mafuta wakanyonya pia!STL na STN uso kwa macho, madereva wa serikali huwa wana kasumba gani?
NB
Sijajua ajali hii imetokea wapiView attachment 3283149
Hiyo chuma ya kulia bado mbichi kabisaa asee na hawajaliSio chini ya mil 600 imeteketea hapo...
Kimeumana.....STL na STN uso kwa macho, madereva wa serikali huwa wana kasumba gani?
NB
Sijajua ajali hii imetokea wapiView attachment 3283149
waliojela kwanini ni maskikini?STL na STN uso kwa macho, madereva wa serikali huwa wana kasumba gani?
NB
Sijajua ajali hii imetokea wapiView attachment 3283149
wanaenda kulala chini ya miti huku bosi akinyonya visimi hotelini..au yupo kwenye lunch au mkutano...kazi yao ni kukimbia kama hawana ratiba vileHakuna madereva humo na pia wanaoendeshwa inaonekana hakuna kitu wanajua zaidi ya kulala tu hao jamaa ukiwa unaongozana nao ni hatari zaidi ya kuwa karibu na Bus muda wowote yeye anawaza kukupita tu hata kama pana kona kali anaamini VX itamaliza haraka kumbe hakuna kitu ukikutana nao wewe punguza mwendo apite maana wanajifanya wana haraka muda wote kama pana kitu cha maana wanawahi huko mbele kumbe hamna kitu.
Hayo magari ni hatari sana ukiongozana nayo muda mrefu nilishastukia hili ni kama boda boda tu na muda mwingine wanahama bara bara madereva wanaendesha wakiwa usingizini kama hiyo ajali hapo mmoja alikua kalala..wanaenda kulala chini ya miti huku bosi akinyonya visimi hotelini..au yupo kwenye lunch au mkutano...kazi yao ni kukimbia kama hawana ratiba vile
😂😂😂😂😂Unakuta ajali kama hii inatokea ukiangalia chanzo utacheka................unakuta kuna bosi fulani anawahi nyumbani dar baada ya kuchoka kukaa katika mji wa mtumba dodoma.........ye kazi ni kumwambia dereva tuwahishe bana............mke mdogo atanuna
STL na STN uso kwa macho, madereva wa serikali huwa wana kasumba gani?
NB
Sijajua ajali hii imetokea wapiView attachment 3283149
Nidhamu ndogo sanaHayo magari ni hatari sana ukiongozana nayo muda mrefu nilishastukia hili ni kama boda boda tu na muda mwingine wanahama bara bara madereva wanaendesha wakiwa usingizini kama hiyo ajali hapo mmoja alikua kalala..