PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Sometimes Wanafanya ligi Hadi na baiskeliUnakuta ajali kama hii inatokea ukiangalia chanzo utacheka................unakuta kuna bosi fulani anawahi nyumbani dar baada ya kuchoka kukaa katika mji wa mtumba dodoma.........ye kazi ni kumwambia dereva tuwahishe bana............mke mdogo atanuna
Jamaa wamekwisha stukia dili. Labda baada ya miaka minne ijayo.Vyoo wanajenga wahisani. Kesho yanaingia mengine kazi iendelee.
SafiSTL na STN uso kwa macho, madereva wa serikali huwa wana kasumba gani?
NB
Sijajua ajali hii imetokea wapiView attachment 3283149
Tumeendelea maji ya Bomba hakuna tena hapo mjini darslamaSiku hz mpaka kuna STL mashangingi hakika tumeendelea sana
Harafu wanakimbia hovyo wanasahau kuwa wao ndio wanafanya michezo ya service ya uongo gari inakua haipo kwenye ule ubora wake harafu wanataka ligi maana muda mwingine wanachakachukua hadi oil za Toyota wanaweka yeyote tu au gari inapita service kwa kuandikwa na kulipwa wakati ilienda garage na haijafanyiwa kitu.Kuna moja tulikutana porini huko😀😀😀
Vumbi,katangulia mbelee..kila ukitaka kupita wapi..uzuri tunakujua kule miaka..kona moja tukachane naye,kaja kunikuta mjini anauliza hii chuma mbona inapepea kwenye vumbi kiasi hicho..😀😀
Nikamshauri Mkuu endesha gari vizuri familia bado inakuhitaji sana..😀😀😀
Walioko vizuri ni wachache sana, kuna dereva nimemuelezea huko juu, gari ikiwa mbovu haendi na yuko radhi akose hiyo per diem, kuna gari moja ya serikali imekufa, kupelekwa Toyota (Engine imekufa) na kurudi sensor zote zimeibwa kanunua mkurugenzi kwa Mill 8 🤣 na hajui kama sensor zimeibiwa zote hajui gharama zake atalia yule jamaa akilitengeneza 🤣🤣🤣Harafu wanakimbia hovyo wanasahau kuwa wao ndio wanafanya michezo ya service ya uongo gari inakua haipo kwenye ule ubora wake harafu wanataka ligi maana muda mwingine wanachakachukua hadi oil za Toyota wanaweka yeyote tu au gari inapita service kwa kuandikwa na kulipwa wakati ilienda garage na haijafanyiwa kitu.
Mwambie anitafute sensor sio bei hapa za Toyota Johannesburg atakapohitaji..Walioko vizuri ni wachache sana, kuna dereva nimemuelezea huko juu, gari ikiwa mbovu haendi na yuko radhi akose hiyo per diem, kuna gari moja ya serikali imekufa, kupelekwa Toyota (Engine imekufa) na kurudi sensor zote zimeibwa kanunua mkurugenzi kwa Mill 8 🤣 na hajui kama sensor zimeibiwa zote hajui gharama zake atalia yule jamaa akilitengeneza 🤣🤣🤣
Poa mkuu nikipata fununu analitengeneza nakustuaMwambie anitafute sensor sio bei hapa za Toyota Johannesburg atakapohitaji..
Hiki kicheko mbona kama cha mke mdogo😀😀😀😂😂😂😂😂
Wee em sema kweli.Hiki kicheko mbona kama cha mke mdogo😀😀😀
Halafu wanajiuzia kwa mkopo wa laki 5, kulipa 30K kwa mwezi.Duh! Bonge moja la hasara hii aisee
Hivyo tushike jembe tuende shamba au?Ugomvi wa ndugu huo
Duh! Uhujumu uchumi huuHalafu wanajiuzia kwa mkopo wa laki 5, kulipa 30K kwa mwezi.
Siku hz mpaka kuna STL mashangingi hakika tumeendelea sana
MitDuh! Bonge moja la hasara hii aisee
Usiwape bichwa hao,uliza wangapi wamepona hapo?Ndo uone tofauti ya ajali za gari za hela na gari zetu za bei ya jioni....kwa mwendo wanaoendeshaga sipati picha kama zingekua IST
Kumbe wamekufa?Mit
Usiwape bichwa hao,uliza wangapi wamepona hapo?
Duh umeua 😀 😀Unakuta ajali kama hii inatokea ukiangalia chanzo utacheka................unakuta kuna bosi fulani anawahi nyumbani dar baada ya kuchoka kukaa katika mji wa mtumba dodoma.........ye kazi ni kumwambia dereva tuwahishe bana............mke mdogo atanuna