Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Naungana na mdau apo juu hii Ni kutokana na wingi wa Magari ya Toyota. Ukijumlisha watu wote wa Toyota wanaotumia kadi za Mafuta za Total, Oryx na Puma. Ambao huwa wanajaziwa na waajiri wao ni wengi kuliko idadi ya magari yote ya kijerumani na marekani combined..hapo hujaweka, hiace na Coaster ambazo zote ni Toyota na Daladala pendwa. Mimi Toyota yangu ilinizimikia mara moja tu ambayo ni siku natoka yard naapo tukaipiga kofi mpaka sheli nikaweka Full tank.