Gari za Toyota na kuishiwa mafuta barabarani

Nani asiyependa Divas!!
Hata sensors za Toyota zinaharibika.. Sema fundi huwa wanakata wire kukupa amani moyoni.. Dashboard haina warning light hata moja ila gari inatoa moshi mweupe..!
 
Nani asiyependa Divas!!
Hata sensors za Toyota zinaharibika.. Sema fundi huwa wanakata wire kukupa amani moyoni.. Dashboard haina warning light hata moja ila gari inatoa moshi mweupe..!

Na mafundi wa nje wanakata waya? umeona hizo links ni bongo?

Nenda duniani popote uliza reliability ya german cars na Toyota. Google is free too.
 
Na mafundi wa nje wanakata waya? umeona hizo links ni bongo?

Nenda duniani popote uliza reliability ya german cars na Toyota. Google is free too.
Yes mafundi wa nje ya mji wanakata wires..
Hapa tunaongelea kuishiwa mafuta..! Sio reliability..
Ukija Reliability huku kuna Speed..!!
 
Bora gari ikuoneshe shida ukiwa mjini hujaanza safari kuliko kukufia porini bila kuwa na sensors.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…