establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
Sema Mtu mweusi Ni zigo la misumariMtu mweusi ni mtihani!๐ถ๐ถ๐ถ
Magari ya kizungu kama bmw, Audi, Land Rover nk, ununue likiwa jipya km 0 ama likiwa limetumika kidogo. Ukichukua limechoka ujiandae kutoboka mfuko. Ndio maana resale value yake inashuka haraka sana.
Kwaiyo Mkuu sisi tunaotaka kununua first car unatushauri nin
Esp sisi wa vipato vya kawaida sna
Au tufikirie IST tu?
Ok any idea garage nzuri naweza tengeneza Toyota Yangu Kwa darUtadiagnose electronically kama gari ni electeonically. Ila kama gari limejaa mifumo ambayo ni mechanical. Basi huwezi kupata hicho unachokitaka.
Mfano hiyo gari niliyopost hapo juu mpaka
engine coolant thermostat yake ni ya umeme. Hivyo vitu vingi ni rahisi kugundulika kwa Diagnosis.
Halafu unamiss point linapokuja suala la computer systems. Unataka mpaka uone laptop ndio ujue kwamba hiyo computer system?
Mimi nimediagnose hiyo audi na simu tu, Ingawa hiyo tablet ilikuwepo ila isingeweza kufanya ambacho ningefanya na simu
Mfano hii hapa chini ni screenshot inayoonesha vitu ninavyoweza kufanya kwenye mfumo wa engine ya Audi. [emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
View attachment 1902469
Katafute ni Diagnostic tool zipi zinaweza kufanya Adaptation pamoja na ECU coding halafu angalia na bei zake halafu urudi hapa.
Hahahahaha! Wanasema gari za wazungu ni kama supu ya mbwa! Unakunywa kabla haijapoa ๐๐Wazungu wenyewe wananunua hizo brand,warranty time ikiisha 3 yrs/36,000 miles wanachukua kitu kingine new.Tajiri wa kibongo anakuja kununua bmw ya 2004 akitegemea miujiza.
Unaponunua gari akilini mwako unatakiwa uwaze maintanance au kuendesha?Upo sahihi.
Watu wengi wanayauza baada ya kuona wamehangaika nayo sana. Lakini shida inaanzia kwamba watu wanawaza kuendesha tu bila kuwaza maintenance.
Uganga na uaguzi unaenda hadi kwa msgari mkuuMafundi wetu wamejaaliwa vipawa.
Yaani unaweza kufika kwa fundi ukasikia anakwambia hebu piga starter, ukishapiga yeye hapo tayari ashamaliza. Atakutajia matatizo yako yote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunajivunia Sana kuwa na mtu kama wewe JituMirabaMinne hapa jukwaani
Kwaiyo Mkuu sisi tunaotaka kununua first car unatushauri nin
Esp sisi wa vipato vya kawaida sna
Au tufikirie IST tu?
Wazungu wenyewe wananunua hizo brand,warranty time ikiisha 3 yrs/36,000 miles wanachukua kitu kingine new.Tajiri wa kibongo anakuja kununua bmw ya 2004 akitegemea miujiza.
Ok any idea garage nzuri naweza tengeneza Toyota Yangu Kwa dar
Hahahahaha! Wanasema gari za wazungu ni kama supu ya mbwa! Unakunywa kabla haijapoa ๐๐
Unaponunua gari akilini mwako unatakiwa uwaze maintanance au kuendesha?
Unanunua gari ili uendeshe sio uhangaike na mafundi mkuu! Gari ikiwa problematic hata kama ina usukani na matairi ya Gold haifai na inakera. Maisha yetu watanzania wengi ni ya kipato cha chini. Handling ya hizo gari kwa wepesi ni kwa watu wenye financial muscles wa kipato cha kati na kile cha juu!
Gari ya mzungu ina gharama za juu halafu inataka preventive maintainance yani ikikorofisha kidogo tu ni pesa ndefu! So upambane na codes tu
Uganga na uaguzi unaenda hadi kwa msgari mkuu
kwa sasa sehemu nyingi sanaa wanafanya mkuu na n bei chee almost 50k to make diagnosis japo device zinatofautiana piaNamaanisha kutafuta fault ya gari electronically na kujua genuine fault maana 90 percent ya Mafundi wana bahatisha na ngumu ku service gari . We ni Fundi mkuu ? Electronically maana yake unatumia computer kujua tatizo na nahsi hiyo yako hawezi kuwa kama hiyo si I pad ulobandika hapo as far as kifaa hicho unanapima ni sawa
Kama wewe ni mpole na hutaki makelele na watu go for RAV4 kisha utarudi hapa bila shuruti kunishukuru.Kwaiyo Mkuu sisi tunaotaka kununua first car unatushauri nin
Esp sisi wa vipato vya kawaida sna
Au tufikirie IST tu?
Kama wewe ni mpole na hutaki makelele na watu go for RAV4 kisha utarudi hapa bila shuruti kunishukuru.