Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa

Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa

Magari ya kizungu kama bmw, Audi, Land Rover nk, ununue likiwa jipya km 0 ama likiwa limetumika kidogo. Ukichukua limechoka ujiandae kutoboka mfuko. Ndio maana resale value yake inashuka haraka sana.

Wazungu wenyewe wananunua hizo brand new,warranty time ikiisha 3 yrs/36,000 miles wanachukua kitu kingine new.Tajiri wa kibongo anakuja kununua bmw ya 2004 akitegemea miujiza.
 
Utadiagnose electronically kama gari ni electeonically. Ila kama gari limejaa mifumo ambayo ni mechanical. Basi huwezi kupata hicho unachokitaka.

Mfano hiyo gari niliyopost hapo juu mpaka
engine coolant thermostat yake ni ya umeme. Hivyo vitu vingi ni rahisi kugundulika kwa Diagnosis.

Halafu unamiss point linapokuja suala la computer systems. Unataka mpaka uone laptop ndio ujue kwamba hiyo computer system?

Mimi nimediagnose hiyo audi na simu tu, Ingawa hiyo tablet ilikuwepo ila isingeweza kufanya ambacho ningefanya na simu

Mfano hii hapa chini ni screenshot inayoonesha vitu ninavyoweza kufanya kwenye mfumo wa engine ya Audi. [emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]

View attachment 1902469

Katafute ni Diagnostic tool zipi zinaweza kufanya Adaptation pamoja na ECU coding halafu angalia na bei zake halafu urudi hapa.
Ok any idea garage nzuri naweza tengeneza Toyota Yangu Kwa dar
 
Upo sahihi.


Watu wengi wanayauza baada ya kuona wamehangaika nayo sana. Lakini shida inaanzia kwamba watu wanawaza kuendesha tu bila kuwaza maintenance.
Unaponunua gari akilini mwako unatakiwa uwaze maintanance au kuendesha?

Unanunua gari ili uendeshe sio uhangaike na mafundi mkuu! Gari ikiwa problematic hata kama ina usukani na matairi ya Gold haifai na inakera. Maisha yetu watanzania wengi ni ya kipato cha chini. Handling ya hizo gari kwa wepesi ni kwa watu wenye financial muscles wa kipato cha kati na kile cha juu!

Gari ya mzungu ina gharama za juu halafu inataka preventive maintainance yani ikikorofisha kidogo tu ni pesa ndefu! So upambane na codes tu
 
Mafundi wetu wamejaaliwa vipawa.

Yaani unaweza kufika kwa fundi ukasikia anakwambia hebu piga starter, ukishapiga yeye hapo tayari ashamaliza. Atakutajia matatizo yako yote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uganga na uaguzi unaenda hadi kwa msgari mkuu
 
Wazungu wenyewe wananunua hizo brand,warranty time ikiisha 3 yrs/36,000 miles wanachukua kitu kingine new.Tajiri wa kibongo anakuja kununua bmw ya 2004 akitegemea miujiza.

Ukiachana na hilo hata matumizi ya watu wengi kibongobongo yanatia shaka. Ni watu wachache sana wanaoweza kutunza magari hata hayo ya kijapani.

Watu wengi wengi wanachojali ni gari inatembea basi. Hayo mwngine yatajisort.
 
Hahahahaha! Wanasema gari za wazungu ni kama supu ya mbwa! Unakunywa kabla haijapoa 😆😆

Kuna mtu mmoja ni Car mechanic, Mtanzania ila kazi zake anafanyia UK alinipigia simu whatsapp last week tukaongea sana.

Yeye gari za Ulaya anazielewa sana. Na humwambii kitu kuhusu Mercedes Benz. Toka ameyajua magari ni yeye Mercedes.
 
Unaponunua gari akilini mwako unatakiwa uwaze maintanance au kuendesha?

Unanunua gari ili uendeshe sio uhangaike na mafundi mkuu! Gari ikiwa problematic hata kama ina usukani na matairi ya Gold haifai na inakera. Maisha yetu watanzania wengi ni ya kipato cha chini. Handling ya hizo gari kwa wepesi ni kwa watu wenye financial muscles wa kipato cha kati na kile cha juu!

Gari ya mzungu ina gharama za juu halafu inataka preventive maintainance yani ikikorofisha kidogo tu ni pesa ndefu! So upambane na codes tu

Ukinunua gari mentality ya kuendesha tu hutoboi.

Ndio maana hata gari za kijapani kama Noah Voxy, Passo, Mitsubishi GDI na gari zingine ambazo ni Direct injection tumezibatiza majina ya ajabu. Unadhani hizo gari ni mbovu kiasi hicho?

Mtu anamiliki gari ina D4 anaweka mafuta ya kidebe anategemea nini?

Tunarudi kulekule kwamba kuna gari ukizifanyia ubabaishaji lazima zikusumbue.
 
Namaanisha kutafuta fault ya gari electronically na kujua genuine fault maana 90 percent ya Mafundi wana bahatisha na ngumu ku service gari . We ni Fundi mkuu ? Electronically maana yake unatumia computer kujua tatizo na nahsi hiyo yako hawezi kuwa kama hiyo si I pad ulobandika hapo as far as kifaa hicho unanapima ni sawa
kwa sasa sehemu nyingi sanaa wanafanya mkuu na n bei chee almost 50k to make diagnosis japo device zinatofautiana pia
 
uko sahihi sanaa ktk maitaince ya izo gari haitak ujanja ujanja na sio gari za shida

ila linapokuja kuja swala la muingiliano wa spare parts hapo umeenda nje tena sio kdgo izo gari kupata genue part its expensive japo ukifunga umefunga sio kama genue za Japan na swala la muingiliano wa engine namna kitu km iko sababu ya utofauti ktk manufacture labda ufanye kitu tunaita modification ya system japo nayo sio kaz rahsi ila ukiwa na bughet Nene inawezekana vzur tu

izo gari n nzur mno cz sensor zake ziko very sensitive ila hapa kwetu kuanzia swala la mafuta na oil tunazotumia kuweka proper perfomance n kaz kdgo.
 
Back
Top Bottom