JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
- Thread starter
-
- #41
Mimi sikusema spare parts zinaingiliana ila nikasema mifumo inaingiliana. Sasa kuingiliana kwa mifumo automatically kunapelekea spare parts kuingiliana. Labda nikupe mifano miwili hii.uko sahihi sanaa ktk maitaince ya izo gari haitak ujanja ujanja na sio gari za shida
ila linapokuja kuja swala la muingiliano wa spare parts hapo umeenda nje tena sio kdgo izo gari kupata genue part its expensive japo ukifunga umefunga sio kama genue za Japan na swala la muingiliano wa engine namna kitu km iko sababu ya utofauti ktk manufacture labda ufanye kitu tunaita modification ya system japo nayo sio kaz rahsi ila ukiwa na bughet Nene inawezekana vzur tu
izo gari n nzur mno cz sensor zake ziko very sensitive ila hapa kwetu kuanzia swala la mafuta na oil tunazotumia kuweka proper perfomance n kaz kdgo.
1. Mojawapo la toleo ya Range Rover L322 Lina engine ya BMW 4.4L V8. Engine hiyohiyo imefungwa kwenye BMW 5 series, BMW 7 series na BMW X5. Spare zake zinafanana 100% iwe unaenda kufunga kwenye Range Rover au BMW.
2. Kama siku 10 zilizopita nilikuwa narekebisha Jeep Grand Cherokee 2.7L CRD ya mwaka 2002. Gari ilikuwa haibadili gear kabisa. Yaani ilikuwa inatembelea gear namba moja tu. Au tunaita Limp mode.
Jeep ni moja kati ya gari ambazo ikipata katatizo kadogo tu kwenye gearbox ina engage Limp mode. Katika kufatilia, kuna nyaya nyingi zilikuwa zimekatwa.
Ile Jeep inatumia gearbox ya Mercedes 722.6. Gearbox hiyo imetumiwa pia kwenye model nyingi sana Mercedes Benz na Jaguar.
Na nilitumia manual hii na haijaspecify uitumie kwenye gari gani. Na tatizo nilitatua. [emoji1484][emoji1484][emoji1484]