Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa

Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa

uko sahihi sanaa ktk maitaince ya izo gari haitak ujanja ujanja na sio gari za shida

ila linapokuja kuja swala la muingiliano wa spare parts hapo umeenda nje tena sio kdgo izo gari kupata genue part its expensive japo ukifunga umefunga sio kama genue za Japan na swala la muingiliano wa engine namna kitu km iko sababu ya utofauti ktk manufacture labda ufanye kitu tunaita modification ya system japo nayo sio kaz rahsi ila ukiwa na bughet Nene inawezekana vzur tu

izo gari n nzur mno cz sensor zake ziko very sensitive ila hapa kwetu kuanzia swala la mafuta na oil tunazotumia kuweka proper perfomance n kaz kdgo.
Mimi sikusema spare parts zinaingiliana ila nikasema mifumo inaingiliana. Sasa kuingiliana kwa mifumo automatically kunapelekea spare parts kuingiliana. Labda nikupe mifano miwili hii.

1. Mojawapo la toleo ya Range Rover L322 Lina engine ya BMW 4.4L V8. Engine hiyohiyo imefungwa kwenye BMW 5 series, BMW 7 series na BMW X5. Spare zake zinafanana 100% iwe unaenda kufunga kwenye Range Rover au BMW.

2. Kama siku 10 zilizopita nilikuwa narekebisha Jeep Grand Cherokee 2.7L CRD ya mwaka 2002. Gari ilikuwa haibadili gear kabisa. Yaani ilikuwa inatembelea gear namba moja tu. Au tunaita Limp mode.

Jeep ni moja kati ya gari ambazo ikipata katatizo kadogo tu kwenye gearbox ina engage Limp mode. Katika kufatilia, kuna nyaya nyingi zilikuwa zimekatwa.

Ile Jeep inatumia gearbox ya Mercedes 722.6. Gearbox hiyo imetumiwa pia kwenye model nyingi sana Mercedes Benz na Jaguar.

Na nilitumia manual hii na haijaspecify uitumie kwenye gari gani. Na tatizo nilitatua. [emoji1484][emoji1484][emoji1484]

Screenshot_2021-08-23-20-38-59-740_com.adobe.reader.jpg
 
Kama wewe ni mpole na hutaki makelele na watu go for RAV4 kisha utarudi hapa bila shuruti kunishukuru.
Kuna Rav 4 nyingi tu zina engine za D4. Nazo mmeshazibatiza majina ya ajabu ajabu.

Tunarudi kulekule kwamba gari utunzaji.

D4 ni engine ambayo inatumia mafuta kidogo na inatoa nguvu kubwa ukilinganisha na engine yenye capacity sawa lakini ni non-D4.

Ila ni changamoto yake moja ni kwamba ni engine nyepesi kutengeneza Carbon hasa kukiwa incomplete combustion.

Incomplete combustion inaweza kusababishwa na

Kutumia mafuta ya kidebe

Kutumia plug ambazo si sahihi.

Kutumia Oil fake/Oil ambayo si sahihi. Hii engine inataka 5W 30 Full Sysnthetic

Na mengine mengi.
 
Rav4 chuma cha mjapan 3s ndio ina kaubishi wa kuipeleka vyovyote vile na ikakubali 😀
 
Magari ya kizungu kama bmw, Audi, Land Rover nk, ununue likiwa jipya km 0 ama likiwa limetumika kidogo. Ukichukua limechoka ujiandae kutoboka mfuko. Ndio maana resale value yake inashuka haraka sana.
+1
Hizo sensor nyingi zilizokufa kwenye hiyo audi , kwenye gari za mjapani pia zipo , na huwa zinaishi milele kama mtu hajachezea wiring.
Na unaweza kuta hiyo audi hata km laki moja haijafika
 
Kwaiyo Mkuu sisi tunaotaka kununua first car unatushauri nin

Esp sisi wa vipato vya kawaida sna

Au tufikirie IST tu?
Fikiria sana Toyota kama unanunua gati ya kwanza
Hata hao wenye gari za ulaya wengi huwa wana back up ya Toyota au gari ya kijapan .
Gari ya japan huwa inahitahi ufatilie service tu. Lakini mjerumani anataka ufatilie service pamoja na maintanace.
Kama gari iliyoletwa na mdau hapo juu , imagine imeua hadi coolant sensor!!! Nadra sana kukuta sensor hii inakufa kwenye gari za japan.
 
+1
Hizo sensor nyingi zilizokufa kwenye hiyo audi , kwenye gari za mjapani pia zipo , na huwa zinaishi milele kama mtu hajachezea wiring.
Na unaweza kuta hiyo audi hata km laki moja haijafika

Mkuu usiseme hivo. Labda kama unazungumzia gari zenye Distributor.

Ila ukikuta gari Japan za Kisasa bado huwa sensor zake hazikai milele.

Ila bado Gari za Mzungu zina Sensor nyingi.

Hapo tu ukiangalia Hiyo Thermostat yake ni ya Umeme na inakuwa Controlled pia na pressure ndani ya engine.

Siyo kama zile thermostat za gari za kijapani ambazo unaweza ukajisikia tu kuzichomoa.

Gari za mzungu technology iko juu sana.
 
Unaponunua gari akilini mwako unatakiwa uwaze maintanance au kuendesha?

Unanunua gari ili uendeshe sio uhangaike na mafundi mkuu! Gari ikiwa problematic hata kama ina usukani na matairi ya Gold haifai na inakera. Maisha yetu watanzania wengi ni ya kipato cha chini. Handling ya hizo gari kwa wepesi ni kwa watu wenye financial muscles wa kipato cha kati na kile cha juu!

Gari ya mzungu ina gharama za juu halafu inataka preventive maintainance yani ikikorofisha kidogo tu ni pesa ndefu! So upambane na codes tu
Pamoja sana mkuu!
Gari inahitaji service tu na sio maintanace, kama gari iliyoletwa na mdau hapo juu, sijaona kosa la mmiliki , bali naona gari lenyewe tu limeamua kuzingua .
Na kama asingekutana na huyu jitu , basi ingekuwa balaa , mafundi wangebeti nalo hadi jamaa afilisike
Gari ya mzungu ni tamu ikiwa kwenye warranty, or else uwe na pesa za kuchezea
 
Fikiria sana Toyota kama unanunua gati ya kwanza
Hata hao wenye gari za ulaya wengi huwa wana back up ya Toyota au gari ya kijapan .
Gari ya japan huwa inahitahi ufatilie service tu. Lakini mjerumani anataka ufatilie service pamoja na maintanace.
Kama gari iliyoletwa na mdau hapo juu , imagine imeua hadi coolant sensor!!! Nadra sana kukuta sensor hii inakufa kwenye gari za japan.

Coolant temperature sensor hata kwenye Japanese car huwa inaleta shida.

Na hiyo ndio sababu kuu ya watu kufunga cooling fan iwe direct.

Gari za mzungu watu wanashindwa kufunga cooling fan direct kwa sababu kuu moja. Cooling system ya gari ya mzungu inakuwa na Control box yake inajitegemea.
 
Pamoja sana mkuu!
Gari inahitaji service tu na sio maintanace, kama gari iliyoletwa na mdau hapo juu, sijaona kosa la mmiliki , bali naona gari lenyewe tu limeamua kuzingua .
Na kama asingekutana na huyu jitu , basi ingekuwa balaa , mafundi wangebeti nalo hadi jamaa afilisike
Gari ya mzungu ni tamu ikiwa kwenye warranty, or else uwe na pesa za kuchezea

Mkuu hiyo gari kaitunza vibaya labda kwa sababu hujaiona.

Kwanza ukianzia tu huko kwenye miguu gari inagonga kama vile tairi zinataka kuchomoka.

Na mafundi aliokuwa anawapelekea before wamechangia sana kumuharibia gari. Imagine kama hiyo camshaft sensor tumekuta imekatika, Yaani fundi alilazimisha kuchomoa connector akakata sensor nyaya zake zikabaki zinaninginia zinagusa kwenye bodi. Ndo imeenda hivyo mpaka imeharibika.
 
Ukinunua gari mentality ya kuendesha tu hutoboi.

Ndio maana hata gari za kijapani kama Noah Voxy, Passo, Mitsubishi GDI na gari zingine ambazo ni Direct injection tumezibatiza majina ya ajabu. Unadhani hizo gari ni mbovu kiasi hicho?

Mtu anamiliki gari ina D4 anaweka mafuta ya kidebe anategemea nini?

Tunarudi kulekule kwamba kuna gari ukizifanyia ubabaishaji lazima zikusumbue.
Hizo gari zenye masharti kama mtoto wa Dawa ndio hatuzihitaji! Gari service iwe kumwaga oil na kubadili filters atleast hata miaka 2 ndio ufanye major maintanance kama kubadili bush na mountings!

Sasa imagine gari unanunua toka mwanzo wewe ni kupambana na dashboard tu! Sensor hii imekufa mara sensor ile mbovu!
 
I think sisi wabongo tu ndio tuna bad experience na European Cars.
 
Back
Top Bottom