Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa


Yeah panoja
Unanipa majibu ya kufurahisha sana maana ni kweli upo deep.
I guarantee you wewe ni mmoja ya mafundi nadra sana ,maana ume combine tech za ulaya na japan kwenye kichwa kimoja , nadra sana hii ,kudos .
Tatizo la kumiliki gari ya ulaya ni kuwa , ukipata tatizo , chances za kukutana na fundi kama wewe akutatulie tatizo , ni very slim , to none .
 
I think sisi wabongo tu ndio tuna bad experience na European Cars.
Hatuna mazoea nazo japo wengi sahizi wananunua ma BMW na ma Benz ila still ni kichefu chefu kama hela huna haya ndio matokeo

Kwa hii bei ukiipiga diagnosis hii gari lazma ukute kuna vifaa vya bei mbaya ni vibovu😅 jamaa anataka amtupie ndezi msala!
 
Again
Salut
Again ,salute!
Huwa napenda sana mtu mwenye kutatua matatizo kwa umakini na kujiamini in a correct way.
Story za gearbox kutobadili gear , ukukutana na fundi nyundo atakuambia solution ni kununua engine na gearbox ya 3s,
 
+1
Hizo sensor nyingi zilizokufa kwenye hiyo audi , kwenye gari za mjapani pia zipo , na huwa zinaishi milele kama mtu hajachezea wiring.
Na unaweza kuta hiyo audi hata km laki moja haijafika
Kuna jamaa humu JF alisema ukitaka kujua mjapan Ni noma kwny minada huko kwa madiba Range Rover used iliyo katika Hali nzuri kabisa inauzwa Bei sawa landcruiser Lx iliyogongwa na kuhitaji matengenezo hahaha.
 
😁😁😁😁 Kipindi kile anaambiwa kwa uwezo wako huu nunua Carina Ti ndg,nae akajibu kwa kujiamini akisema dunia ni Kijiji nitaagiza spea online
 

Shukrani mkuu.
 
Again

Salut

Again ,salute!
Huwa napenda sana mtu mwenye kutatua matatizo kwa umakini na kujiamini in a correct way.
Story za gearbox kutobadili gear , ukukutana na fundi nyundo atakuambia solution ni kununua engine na gearbox ya 3s,
Gari za Japan ni rarely kukuta imekufa halafu shida ikawa ni ya umeme. Japo huwa inatokea. Na hata ikitokea hivyo bado manual za gearbox za automatic za japani zinapatikana.

Kwa gari za Ulaya ukikuta gearbox Mercedes au ZF huwa hazifi kiboya.

Mara nyingi ni electrical issues.
 

Kuna mtu anaenda kulia kilio kikuu.
 
Mcheki Scott kilmer Kule YouTube atakupa majibu mzee.

Sawa ni personal experience yake pia.

Kuna matoleo mengine ya toyota watu yanawasumbua. Lakini mbona kuna watu wanayatumia bila shida.

Kuna matoleo Bongo watu wanayadisi ila ukienda mfano tu hata Zambia na Malawi watu wanayatumia sana.
 
Thats what we call reliability, ukiangalia frequent issue za Euro makes ni umeme na ma sensor! Japanese ni regular maintanance tu kama lubes and oils na suspension parts hasa zile oem parts zikishabadilishwa hapa bongo! Sababu ni fake products!
 
Thats what we call reliability, ukiangalia frequent issue za Euro makes ni umeme na ma sensor! Japanese ni regular maintanance tu kama lubes and oils na suspension parts hasa zile oem parts zikishabadilishwa hapa bongo! Sababu ni fake products!

I think mzungu akitengeneza gari yenye less technology kama mjapani mtazipenda zaidi zake.
 
I think mzungu akitengeneza gari yenye less technology kama mjapani mtazipenda zaidi zake.
Mjapani ame develop kiteknolojia sana sema yeye huwa anatulia hakurupuki bila kufanya numerous tests kuhakikisha kwamba ameondosha malfunctions and errors katika mfumo by 99% hio 1% inabaki kwenye factory defects!

Mzungu yeye anakurupukia fancy technological stuffs and gizmos bila kufanya testing yani! Matokeo yake zinaanza malfunctions zikiwa ziashamfikia mteja! Anapambana awe wa kwanza tu ila electronics zinafail vibaya na kumtia hasara mteja
 
I think sisi wabongo tu ndio tuna bad experience na European Cars.
Sio bongo tu. Hata nchi zilizoendelea wanakushauri kama unataka gari used nunua Japanese. Ndio maana Marekani gari za kijapani kama Honda na Toyota zinafanya vizuri sana na resale value yake iko juu compare to American made kama Dodge, Chevy, Jeep nk
 
Matatizo mengine mnajitafutiaga tu kipato na mazingira yanamfeva mjapan go for it!! achana na maisha ya kuonekana mbele za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…