Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Acha tuendeshe IST tu hizo accessories kama mziki mkubwa na screens tutafunga tuMambo mazuri bhana. Yanataka mpunga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tuendeshe IST tu hizo accessories kama mziki mkubwa na screens tutafunga tuMambo mazuri bhana. Yanataka mpunga.
Acha tuendeshe IST tu hizo accessories kama mziki mkubwa na screens tutafunga tu
Mkuu usiseme hivo. Labda kama unazungumzia gari zenye Distributor.
Ila ukikuta gari Japan za Kisasa bado huwa sensor zake hazikai milele.
Ila bado Gari za Mzungu zina Sensor nyingi.
Hapo tu ukiangalia Hiyo Thermostat yake ni ya Umeme na inakuwa Controlled pia na pressure ndani ya engine.
Siyo kama zile thermostat za gari za kijapani ambazo unaweza ukajisikia tu kuzichomoa.
Gari za mzungu technology iko juu sana
Yeah panojaCoolant temperature sensor hata kwenye Japanese car huwa inaleta shida.
Na hiyo ndio sababu kuu ya watu kufunga cooling fan iwe direct.
Gari za mzungu watu wanashindwa kufunga cooling fan direct kwa sababu kuu moja. Cooling system ya gari ya mzungu inakuwa na Control box yake inajitegemea.
Hatuna mazoea nazo japo wengi sahizi wananunua ma BMW na ma Benz ila still ni kichefu chefu kama hela huna haya ndio matokeoI think sisi wabongo tu ndio tuna bad experience na European Cars.
SalutMimi sikusema spare parts zinaingiliana ila nikasema mifumo inaingiliana. Sasa kuingiliana kwa mifumo automatically kunapelekea spare parts kuingiliana. Labda nikupe mifano miwili hii.
1. Mojawapo la toleo ya Range Rover L322 Lina engine ya BMW 4.4L V8. Engine hiyohiyo imefungwa kwenye BMW 5 series, BMW 7 series na BMW X5. Spare zake zinafanana 100% iwe unaenda kufunga kwenye Range Rover au BMW.
2. Kama siku 10 zilizopita nilikuwa narekebisha Jeep Grand Cherokee 2.7L CRD ya mwaka 2002. Gari ilikuwa haibadili gear kabisa. Yaani ilikuwa inatembelea gear namba moja tu. Au tunaita Limp mode.
Jeep ni moja kati ya gari ambazo ikipata katatizo kadogo tu kwenye gearbox ina engage Limp mode. Katika kufatilia, kuna nyaya nyingi zilikuwa zimekatwa.
Ile Jeep inatumia gearbox ya Mercedes 722.6. Gearbox hiyo imetumiwa pia kwenye model nyingi sana Mercedes Benz na Jaguar.
Na nilitumia manual hii na haijaspecify uitumie kwenye gari gani. Na tatizo nilitatua.![]()
![]()
![]()
View attachment 1905383
Again ,salute!Mimi sikusema spare parts zinaingiliana ila nikasema mifumo inaingiliana. Sasa kuingiliana kwa mifumo automatically kunapelekea spare parts kuingiliana. Labda nikupe mifano miwili hii.
1. Mojawapo la toleo ya Range Rover L322 Lina engine ya BMW 4.4L V8. Engine hiyohiyo imefungwa kwenye BMW 5 series, BMW 7 series na BMW X5. Spare zake zinafanana 100% iwe unaenda kufunga kwenye Range Rover au BMW.
2. Kama siku 10 zilizopita nilikuwa narekebisha Jeep Grand Cherokee 2.7L CRD ya mwaka 2002. Gari ilikuwa haibadili gear kabisa. Yaani ilikuwa inatembelea gear namba moja tu. Au tunaita Limp mode.
Jeep ni moja kati ya gari ambazo ikipata katatizo kadogo tu kwenye gearbox ina engage Limp mode. Katika kufatilia, kuna nyaya nyingi zilikuwa zimekatwa.
Ile Jeep inatumia gearbox ya Mercedes 722.6. Gearbox hiyo imetumiwa pia kwenye model nyingi sana Mercedes Benz na Jaguar.
Na nilitumia manual hii na haijaspecify uitumie kwenye gari gani. Na tatizo nilitatua. [emoji1484][emoji1484][emoji1484]
View attachment 1905383
Kuna jamaa humu JF alisema ukitaka kujua mjapan Ni noma kwny minada huko kwa madiba Range Rover used iliyo katika Hali nzuri kabisa inauzwa Bei sawa landcruiser Lx iliyogongwa na kuhitaji matengenezo hahaha.+1
Hizo sensor nyingi zilizokufa kwenye hiyo audi , kwenye gari za mjapani pia zipo , na huwa zinaishi milele kama mtu hajachezea wiring.
Na unaweza kuta hiyo audi hata km laki moja haijafika
😁😁😁😁 Kipindi kile anaambiwa kwa uwezo wako huu nunua Carina Ti ndg,nae akajibu kwa kujiamini akisema dunia ni Kijiji nitaagiza spea onlineHatuna mazoea nazo japo wengi sahizi wananunua ma BMW na ma Benz ila still ni kichefu chefu kama hela huna haya ndio matokeo
View attachment 1905675Kwa hii bei ukiipiga diagnosis hii gari lazma ukute kuna vifaa vya bei mbaya ni vibovu😅 jamaa anataka amtupie ndezi msala!
Mcheki Scott kilmer Kule YouTube atakupa majibu mzee.I think sisi wabongo tu ndio tuna bad experience na European Cars.
Yeah panoja
Unanipa majibu ya kufurahisha sana maana ni kweli upo deep.
I guarantee you wewe ni mmoja ya mafundi nadra sana ,maana ume combine tech za ulaya na japan kwenye kichwa kimoja , nadra sana hii ,kudos .
Tatizo la kumiliki gari ya ulaya ni kuwa , ukipata tatizo , chances za kukutana na fundi kama wewe akutatulie tatizo , ni very slim , to none .
Gari za Japan ni rarely kukuta imekufa halafu shida ikawa ni ya umeme. Japo huwa inatokea. Na hata ikitokea hivyo bado manual za gearbox za automatic za japani zinapatikana.Again
Salut
Again ,salute!
Huwa napenda sana mtu mwenye kutatua matatizo kwa umakini na kujiamini in a correct way.
Story za gearbox kutobadili gear , ukukutana na fundi nyundo atakuambia solution ni kununua engine na gearbox ya 3s,
Hatuna mazoea nazo japo wengi sahizi wananunua ma BMW na ma Benz ila still ni kichefu chefu kama hela huna haya ndio matokeo
View attachment 1905675Kwa hii bei ukiipiga diagnosis hii gari lazma ukute kuna vifaa vya bei mbaya ni vibovu😅 jamaa anataka amtupie ndezi msala!
Mcheki Scott kilmer Kule YouTube atakupa majibu mzee.
Thats what we call reliability, ukiangalia frequent issue za Euro makes ni umeme na ma sensor! Japanese ni regular maintanance tu kama lubes and oils na suspension parts hasa zile oem parts zikishabadilishwa hapa bongo! Sababu ni fake products!Gari za Japan ni rarely kukuta imekufa halafu shida ikawa ni ya umeme. Japo huwa inatokea. Na hata ikitokea hivyo bado manual za gearbox za automatic za japani zinapatikana.
Kwa gari za Ulaya ukikuta gearbox Mercedes au ZF huwa hazifi kiboya.
Mara nyingi ni electrical issues.
Thats what we call reliability, ukiangalia frequent issue za Euro makes ni umeme na ma sensor! Japanese ni regular maintanance tu kama lubes and oils na suspension parts hasa zile oem parts zikishabadilishwa hapa bongo! Sababu ni fake products!
Mjapani ame develop kiteknolojia sana sema yeye huwa anatulia hakurupuki bila kufanya numerous tests kuhakikisha kwamba ameondosha malfunctions and errors katika mfumo by 99% hio 1% inabaki kwenye factory defects!I think mzungu akitengeneza gari yenye less technology kama mjapani mtazipenda zaidi zake.
Sio kaubishi tu, ile ni chuma kweli.Rav4 chuma cha mjapan 3s ndio ina kaubishi wa kuipeleka vyovyote vile na ikakubali 😀
Sio bongo tu. Hata nchi zilizoendelea wanakushauri kama unataka gari used nunua Japanese. Ndio maana Marekani gari za kijapani kama Honda na Toyota zinafanya vizuri sana na resale value yake iko juu compare to American made kama Dodge, Chevy, Jeep nkI think sisi wabongo tu ndio tuna bad experience na European Cars.
Inashangaza sana, ukienda kenya na zambia unakutana na European cars nyingi mno na wala hawana story hizi tunazopeana kuhusu magari haya.I think sisi wabongo tu ndio tuna bad experience na European Cars.
Matatizo mengine mnajitafutiaga tu kipato na mazingira yanamfeva mjapan go for it!! achana na maisha ya kuonekana mbele za watu.Kama unanunua hizi gari za ulaya na unakuwa mjanja mjanja kwenye service na maintenance zingine basi huwezi kufika mbali kabla hujaanza kuzibatiza majina ajabu ajabu, mara pepo, mara jini, n.k.
Kama una mentality ya kuendesha tu na hukumbuki service basi hizi gari hazikufai. Mtamlaumu tu mtu alikushauri kununua lakini uzembe utakuwa ni kwa kwako.
Hizi screen shot nimeambatanisha hapa chini ni Audi A4 2.0 ya mwaka 2003. Gari inang'aa na ni namba DNU. Aiseee tulipokuja kupima na mashine tuliyokutana nayo tukaona tumechoka.
Hebu cheki
Kwanza ukianzia tu hapa [emoji1484] System 7 kwenye gari haziko sawa. Engine ikiwa inaongoza ikiwa na DTC 15.
View attachment 1901857
Tuache hiyo mifumo mingine tuishie tu kwenye engine.
Hebu ona...
View attachment 1901858
View attachment 1901859
View attachment 1901860
View attachment 1901861
View attachment 1901862
Hivi unaendeshaje gari yenye mazingira kama hayo?
Straight forward, Engine coolant temp. sensor na intake air temperature sensor zishajifia na kwenye live data inasoma -54 C. Ukiacha hizo faults zingine, hizi sensor mbili tu zinamla mafuta hana hamu na hiyo gari.
Hiyo Camshaft position sensor ishajifia na gari inamsumbua kuwaka, na yeye bila kujua angeenda kuingia hasara kwa maana alikuwa anawaza akanunue battery nyingine.
Honestly speaking, Ni rahisi kurekebisha gari ya Ulaya/Marekani. Kuliko gari za Japan/Asia kwa sababu kuu tatu,
1. Gari za Ulaya/Marekani zipo sensitive sana kwenye kutrigger code(DTC's) linapotokea tatizo. Hivyo inakuwa ni rahisi kuona tatizo ukipima.
2. Ni rahisi mno kupata repair manual ya gari ya Ulaya/Marekani kuliko kupata Manuals za gari za Japan/Asia (Except kwa gari za Japan/Asia zinazouzwa soko la Ulaya/Marekani). Ukiwa na vifaa plus hizo manual kazi inarahisishwa sana.
3. Kuna muingiliano mkubwa sana wa mifumo baina ya gari za Ulaya/Marekani. Kwa mifano,
(a) ZF transmission zinatumiwa makampuni mengi sana ya magari kuanzia BMW, Audi, Landrover, Jeep n.k.
(b) Siyo Ajabu ukakutana na Jeep ina gearbox ya mercedes.
(c) Siyo ajabu ukakutana na Landrover ina engine ya BMW/Jaguar.
Haya yote yanarahisisha sana utatuzi wa matatizo wa magari ya Ulaya/Marekani.
Alamsiki.
kitu hasa mlingoti chuma bendera chumaSio kaubishi tu, ile ni chuma kweli.