Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa

Inashangaza sana, ukienda kenya na zambia unakutana na European cars nyingi mno na wala hawana story hizi tunazopeana kuhusu magari haya.
Linapokupja swala la magari wakenya , wapo slow sana ,
Wakati sisi tunatumia marcopolo miaka ya 2000 wao bado walikuwa wanatumia nissan diesel na isuzu , leo hii ukienda nairobi kisumu au mombasa, fleets ni scania
Walikuwa wanatumia sana nissan kwenye shuttle , leo hii ni toyota hiace kd na rz series ndo ,zinadominate sacos shuttle
Gari zinazodqfirisha miraa kenya ni fleets za Toyota Hilux tu miraa ni moja ya kazi ngumu sana kwa kenya na gari inatakiwa iwe ya uhakika kweli kweli , miraa ni perrishable na huwa inasafiri umbali wa hadi km 800 kutoka shamba hadi sokoni
Toyota ndo inazidi kupamba moto Kenya.
 
I think mzungu akitengeneza gari yenye less technology kama mjapani mtazipenda zaidi zake.
Wazungu wana technology nyingi sana za magari , shida kuu ninayoiona kwao ni kuwa wanajaribu sana kila spare watengeneze wenyewe, , mjapani ana funga spare kutokana na reputation ya kampuni husika , na huwa wanafanya selection ya uhakika wanaposource kampuni ya ku supply,
Mfano mitsubishi ,toyota wakati fulani huww wanatumia injector pump kutoka kwa suplier mmoja
 
Ila twende mbele turudi nyuma, gari za siku hizi technology imepelekea zisiwe na reliability kama ya gari za zamani regardless japanese au European.

Kuna mjapani mmoja aliniletea Prado ya 2006 imeua mota flani hivi ambayo inasaidia katika kuingiza hewa kwenye engine. Hizo gari zimekuja na mfumo unaitwa secondary air injection.

Sasa tulivokuta hiyo mota imekufa tulivyokuja kumtajia yule mjapani bei ya hiyo mota, ghafla sura ikabadilika.

Simply mtumba ni 700k na ukiagiza ni zaidi ya milioni.
 
Hii chuma unadhani ina magonjwa magonjwa kama Kama S class ya sasa?
 
Ingawa hata kwa mzungu bado unaweza ukakuta spare nyingi sana ambazo hajatengeneza yeye.

Kwa mfano Gari za Land Rover zinakuwa na spare parts nyingi sana za kampuni kama Bosch au Siemens.
 
Napenda thread za magari
 
Tudeal na toyota tu
 
Litaumia jitu hapo soon [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…