Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 628846View attachment 628847View attachment 628848hyo M 9.5 ukitaka unaweka namba DK au DL mkuu
Hiyo ni old model mzee baba ,naulizia IST new modelView attachment 628846View attachment 628847View attachment 628848hyo M 9.5 ukitaka unaweka namba DK au DL mkuu
Nakutafutia leo leo nakujibHiyo ni old model mzee baba ,naulizia IST new model
Hii bei inajumuisha ushuru?
Namba DK utaipata wapi acha uongoView attachment 628846View attachment 628847View attachment 628848hyo M 9.5 ukitaka unaweka namba DK au DL mkuu
Hata mimi, pia paso na kikobe kile, mie kobe hata lifti sipendiHakuna gari sipendi kama iki kidude
Yan kila mtu anakitu ana penda na vitu hapend..ni jambo la kawaida yan mi mwenye kuna magar nauza ila siyapendi sema wapo watu wanayapenda na wananunua kwa gharama adi unashangaa..Hata mimi, pia paso na kikobe kile, mie kobe hata lifti sipendi
Duuuh ningekuwa na hela cjui ingekuwaje
Hivi kwa nn mtu unajikuta unachukia kitu tu? Na yale napenda kuna watu pia wanayachukia[emoji85]