Gari zinauzwa

Gari zinauzwa

Hizo gari unaposema mpya kabisa unamaana haijatembea..?? Ni zero kilometer??
Yan kwa huk bado hazijatumika...mpya kabisa kutoka kiwandani daaah kwa tz zenye 0 km hatuuzi boss wangu.
 
Hiyo ni old model mzee baba ,naulizia IST new model
IMG-20171112-WA0021.jpg

IST new model bei mil 16.8
Karib mkuu
 
Hakuna gari sipendi kama iki kidude
Hata mimi, pia paso na kikobe kile, mie kobe hata lifti sipendi
Duuuh ningekuwa na hela cjui ingekuwaje
Hivi kwa nn mtu unajikuta unachukia kitu tu? Na yale napenda kuna watu pia wanayachukia[emoji85]
 
Hata mimi, pia paso na kikobe kile, mie kobe hata lifti sipendi
Duuuh ningekuwa na hela cjui ingekuwaje
Hivi kwa nn mtu unajikuta unachukia kitu tu? Na yale napenda kuna watu pia wanayachukia[emoji85]
Yan kila mtu anakitu ana penda na vitu hapend..ni jambo la kawaida yan mi mwenye kuna magar nauza ila siyapendi sema wapo watu wanayapenda na wananunua kwa gharama adi unashangaa..
 
Back
Top Bottom