Gari zinazotumia umeme kujiendesha si rafiki kwa nchi za afrika.

Gari zinazotumia umeme kujiendesha si rafiki kwa nchi za afrika.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Teknolojia imekuja kwa kasi ila kasi ya afrika kwenye kuipokea inachangamoto kubwa.

Kwa magari ya umeme nimegundua mfumo wake wa betri umewekwa chini na si rafiki kwa nchi yetu.

kwa nini sio rafiki?.Embu tuangalie barabara zetu zenye mashimo,mawe,madimbwi,rafu na n.k.

Kwa uvumilivu wa betri utachukua mda mfupi.

Bei ya betri ni kubwa kama imekufa kabisa.
 
Hayo magari yanafaa sehemu ambazo watu wanajua maana ya ustaarabu, ukiachana na ubovu wa barabara madereva wenyewe wanavyoendesha marabarani umewaona? Teknolojia zingine zitupitege tu mpaka pale tutakapoanza kuishi kama binadamu
 
Back
Top Bottom