mkemiamkuu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 355
- 284
Mafeni ya radiator yanazunguka kila wakati?Habari wana Jamii Forum, naomba wenye kujua hili wanisaidie. Nimebadirisha rejeta ya gari yangu baada ya iliyokuwepo kuwa inavuja sana, niliunga sana na ikachoka kabisa, na hii niliyoweka ni mpya kabisa, lakini Cha ajabu nikiwa naenda safari ndefu kidogo mshale wa temp unashuka mpaka zero Ila nikiwa na town trip tu inakuwa sawa. Je tatizo inaweza kuwa nini? Natanguliza shukrani
Thermostat IPO?Habari wana Jamii Forum, naomba wenye kujua hili wanisaidie. Nimebadirisha rejeta ya gari yangu baada ya iliyokuwepo kuwa inavuja sana, niliunga sana na ikachoka kabisa, na hii niliyoweka ni mpya kabisa, lakini Cha ajabu nikiwa naenda safari ndefu kidogo mshale wa temp unashuka mpaka zero Ila nikiwa na town trip tu inakuwa sawa. Je tatizo inaweza kuwa nini? Natanguliza shukrani
Hapana feni huwa zinafunguka nikiwa speed ndogo au nikisimama na mshale ndo unapanda mpaka katikatiMafeni ya radiator yanazunguka kila wakati?
Hapa sina uhakika Kaka, labda nicheki maana inaweza kuwa ilitolewaThermostat IPO?
Naweka msisitizoThermostat IPO?