mkemiamkuu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 355
- 284
Habari wana Jamii Forum, naomba wenye kujua hili wanisaidie. Nimebadirisha rejeta ya gari yangu baada ya iliyokuwepo kuwa inavuja sana, niliunga sana na ikachoka kabisa, na hii niliyoweka ni mpya kabisa, lakini Cha ajabu nikiwa naenda safari ndefu kidogo mshale wa temp unashuka mpaka zero Ila nikiwa na town trip tu inakuwa sawa. Je tatizo inaweza kuwa nini? Natanguliza shukrani