kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kafulila, acha zako wewe twambie kwako asilimia 10 itakuwa ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulila hawezi kuchukua rushwa tunamjuaKafulila, acha zako wewe twambie kwako asilimia 10 itakuwa ngapi
Hakuna serikali hata moja afrika ambayo CAG wake anatoa hati zote safi kwa taasisi anazozikagua.Wewe ndio umerogwa usisemee wengine. Mpaka Leo unaamini serikali ya CCM ni safi? Haina ufisadi?. Ok Baki na ujinga wako.
Uhalisia wa kinachotokea ni ushahidi wa kushindwa kwetu.Dah! Kwa hivyo wewe unaamini kamba watanzania hawawezi kujenga Tecknolojia yao mpaka atome mjomba nje kuwaletea Tecknolojia. Kweli tupo Dunia ya tatu.
Hana historia hiyo KafulilaUna ushahidi kwamba alipewa? Maneno mepesi tu hayo, bei yake mnadani inafahamika
Sasa hii mpaka uwe na Ushahidi stahiki sio porojo hizi, Kafulila ni kinara wa uadilifu nchini najua unajuaKafulila, acha zako wewe twambie kwako asilimia 10 itakuwa ngapi
Bila ukomo haiwezekaniNashauri apewe tenda tena isiwe na ukomo.
Kweli afandeSasa hii mpaka uwe na Ushahidi stahiki sio porojo hizi, Kafulila ni kinara wa uadilifu nchini najua unajua
Ukweli ni huo ndg yanguKweli afande
Tanzania inapendwa sana na MunguKufuatia kashfa hii ya kibiasha ya makampuni ya billionaire Gautam Adani na yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii hasa jukwaa hili na vyombo mablimbali vya habari vya ndani na nje ya Tanzania hasa kwa kuishambulia Serikali ya TANZANIA na watendaji wake,
===
Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya kiasi cha US$ 250M zaidi ya TZS 650bn ili apate kazi na Mikopo toka kwa mabanki na Wawekezaji wenzake kibiashara.
Billionaire Gautam Adani anatajwa kumiliki ukwasi wa zaidi ya US$ 85.5bn zaidi ya TZS 222.3trilioni ambazo ni zaidi ya Uchumi wote wa nchi ya TANZANIA wenye wasi wasi nae kuhusu uwezo wa Kiuchumi naomba waondoe hofu.
Mtakumbuka billionaire huyu hivi karibuni alionesha nia ya kuwekeza nchini Marekani kiasi cha US$ 10bn zaidi ya TZS 26 Trilioni kwenye sekta ya nishati akiahidi kutoa ajira za moja kwa moja kwa wamarekani zaidi ya 15,000 akitaraji kupata faida ya karibu US$2bn zaidi ya TZS 5.2trlioni ndani ya miaka 20 ijayo.
Billionaire huyo kwa kupita kampuni yake Adan Green Energy Ltd pamoja na kampuni ya Gridworks Development Partners LLP toka Uingereza kwa nyakati tofauti tofauti wameonesha nia ya kutaka kuwekeza kwenye mradi wa kusafirisha na kusambaza Umeme kwa gharama ya zaidi ya TZS 3.3Trilioni ikiwa ni baada ya Tanzania kuwa na Umeme wa ziada wa zaidi ya 600MW hii ni baada ya bwawa la Mwl Nyerere (JNHPP) kukamilika na kuanza kufua umeme wa zaidi ya 2,100MW na kuziba nakisi ya umeme iliyokuwepo kwa miongo mingi na hivyo kuilazimu Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Haya ni maoni yangu,
1. Tuhuma hizi kwa Serikali ya Tanzania ni ama zimewahi ama hazina msingi wowote kwakuwa billionaire Gautam Adani hana mkataba wowote na Serikali ya Tanzania japo ameonesha nia ya kuwekeza kwa kutumia Sheria , kanuni na taratibu za PPPC.
2. Hata hivyo kinachomsibu Gautam Adani Kwa sasa ni tuhuma tu tena za Upande mmoja na kwa kuzingatia dunia hii ya mnyukano wa vita za Kiuchumi tusiende mbio kwenye lawama badala yake tujiuluze kwanini Marekani yenyewe imruhusu billionaire Gautam Adani awekeze kiasi Cha US$ 10bn na hivyo kutoa ajira zaidi ya 15,000 kwa wamarekani?
3. Hata hivyo, hakuna mahali Serikali ya Tanzania wala Mkurugenzi wa PPP Bw David Kafulila wamemtetea billionaire Gautam Adani au mwekezaji mwingine yeyote.
4. Kwa msiofahamu kazi mojawapo ya PPPC ni kuueleza umma wa Tanzania ( Public ) kuhusu uwekezaji na wawekezaji wenye nia ya kuwekeza kwenye PPP kwa kuzingatia zaidi masilahi mapana ya Taifa la Tanzania.
5. Lazima tufahamu kwanini PPPC anafanya hivi, lengo na nia ni kuufanya Umma ( Public) uelewe kila kitu tangu mwanzo kabisa wa mradi hasa kwenye hatua ya mwekezaji kuonesha nia badala ya Umma kuja kuletewa mkataba ulosainiwa bila kujua mchakato wa uwekezaji huo ulianza lini na kwa namna gani na masilahi kwa Taifa ni yepi hivyo kupoteza maana ya neno Public-Private
Tukumbuke Transparency ndio nguzo kuu katika ndoa yoyote ile ya PPP na faida yake ni hii Leo Watanzania wanamjadili Adani nje ndani ni kwa sababu wameshirikishwa mapema na kwa uwazi kabisa juu ya nia yake hiyo.
Pia soma Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
search.app
search.app
#SAMIAMITANOTENA
Ndio maana kila inachofanya kinafanikiwaTanzania inapendwa sana na Mungu
Uchawa upi tena?Shida unawaza uchama tu.
Mbona Tanzania hawamuondoi Bandarini pamoja na kashfa hizo zote?Kufuatia kashfa hii ya kibiasha ya makampuni ya billionaire Gautam Adani na yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii hasa jukwaa hili na vyombo mablimbali vya habari vya ndani na nje ya Tanzania hasa kwa kuishambulia Serikali ya TANZANIA na watendaji wake,
===
Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya kiasi cha US$ 250M zaidi ya TZS 650bn ili apate kazi na Mikopo toka kwa mabanki na Wawekezaji wenzake kibiashara.
Billionaire Gautam Adani anatajwa kumiliki ukwasi wa zaidi ya US$ 85.5bn zaidi ya TZS 222.3trilioni ambazo ni zaidi ya Uchumi wote wa nchi ya TANZANIA wenye wasi wasi nae kuhusu uwezo wa Kiuchumi naomba waondoe hofu.
Mtakumbuka billionaire huyu hivi karibuni alionesha nia ya kuwekeza nchini Marekani kiasi cha US$ 10bn zaidi ya TZS 26 Trilioni kwenye sekta ya nishati akiahidi kutoa ajira za moja kwa moja kwa wamarekani zaidi ya 15,000 akitaraji kupata faida ya karibu US$2bn zaidi ya TZS 5.2trlioni ndani ya miaka 20 ijayo.
Billionaire huyo kwa kupita kampuni yake Adan Green Energy Ltd pamoja na kampuni ya Gridworks Development Partners LLP toka Uingereza kwa nyakati tofauti tofauti wameonesha nia ya kutaka kuwekeza kwenye mradi wa kusafirisha na kusambaza Umeme kwa gharama ya zaidi ya TZS 3.3Trilioni ikiwa ni baada ya Tanzania kuwa na Umeme wa ziada wa zaidi ya 600MW hii ni baada ya bwawa la Mwl Nyerere (JNHPP) kukamilika na kuanza kufua umeme wa zaidi ya 2,100MW na kuziba nakisi ya umeme iliyokuwepo kwa miongo mingi na hivyo kuilazimu Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Haya ni maoni yangu,
1. Tuhuma hizi kwa Serikali ya Tanzania ni ama zimewahi ama hazina msingi wowote kwakuwa billionaire Gautam Adani hana mkataba wowote na Serikali ya Tanzania japo ameonesha nia ya kuwekeza kwa kutumia Sheria , kanuni na taratibu za PPPC.
2. Hata hivyo kinachomsibu Gautam Adani Kwa sasa ni tuhuma tu tena za Upande mmoja na kwa kuzingatia dunia hii ya mnyukano wa vita za Kiuchumi tusiende mbio kwenye lawama badala yake tujiuluze kwanini Marekani yenyewe imruhusu billionaire Gautam Adani awekeze kiasi Cha US$ 10bn na hivyo kutoa ajira zaidi ya 15,000 kwa wamarekani?
3. Hata hivyo, hakuna mahali Serikali ya Tanzania wala Mkurugenzi wa PPP Bw David Kafulila wamemtetea billionaire Gautam Adani au mwekezaji mwingine yeyote.
4. Kwa msiofahamu kazi mojawapo ya PPPC ni kuueleza umma wa Tanzania ( Public ) kuhusu uwekezaji na wawekezaji wenye nia ya kuwekeza kwenye PPP kwa kuzingatia zaidi masilahi mapana ya Taifa la Tanzania.
5. Lazima tufahamu kwanini PPPC anafanya hivi, lengo na nia ni kuufanya Umma ( Public) uelewe kila kitu tangu mwanzo kabisa wa mradi hasa kwenye hatua ya mwekezaji kuonesha nia badala ya Umma kuja kuletewa mkataba ulosainiwa bila kujua mchakato wa uwekezaji huo ulianza lini na kwa namna gani na masilahi kwa Taifa ni yepi hivyo kupoteza maana ya neno Public-Private
Tukumbuke Transparency ndio nguzo kuu katika ndoa yoyote ile ya PPP na faida yake ni hii Leo Watanzania wanamjadili Adani nje ndani ni kwa sababu wameshirikishwa mapema na kwa uwazi kabisa juu ya nia yake hiyo.
Pia soma Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
search.app
search.app
#SAMIAMITANOTENA
inakuwaje isiwe na ukomo?Nashauri apewe tenda tena isiwe na ukomo.
Mungu ainuliweKufuatia kashfa hii ya kibiasha ya makampuni ya billionaire Gautam Adani na yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii hasa jukwaa hili na vyombo mablimbali vya habari vya ndani na nje ya Tanzania hasa kwa kuishambulia Serikali ya TANZANIA na watendaji wake.
===
Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya kiasi cha US$ 250M zaidi ya TZS 650bn ili apate kazi na Mikopo toka kwa mabanki na Wawekezaji wenzake kibiashara.
Billionaire Gautam Adani anatajwa kumiliki ukwasi wa zaidi ya US$ 85.5bn zaidi ya TZS 222.3trilioni ambazo ni zaidi ya Uchumi wote wa nchi ya TANZANIA wenye wasi wasi nae kuhusu uwezo wa Kiuchumi naomba waondoe hofu.
Mtakumbuka billionaire huyu hivi karibuni alionesha nia ya kuwekeza nchini Marekani kiasi cha US$ 10bn zaidi ya TZS 26 Trilioni kwenye sekta ya nishati akiahidi kutoa ajira za moja kwa moja kwa wamarekani zaidi ya 15,000 akitaraji kupata faida ya karibu US$2bn zaidi ya TZS 5.2trlioni ndani ya miaka 20 ijayo.
Billionaire huyo kwa kupita kampuni yake Adan Green Energy Ltd pamoja na kampuni ya Gridworks Development Partners LLP toka Uingereza kwa nyakati tofauti tofauti wameonesha nia ya kutaka kuwekeza kwenye mradi wa kusafirisha na kusambaza Umeme kwa gharama ya zaidi ya TZS 3.3Trilioni ikiwa ni baada ya Tanzania kuwa na Umeme wa ziada wa zaidi ya 600MW hii ni baada ya bwawa la Mwl Nyerere (JNHPP) kukamilika na kuanza kufua umeme wa zaidi ya 2,100MW na kuziba nakisi ya umeme iliyokuwepo kwa miongo mingi na hivyo kuilazimu Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Haya ni maoni yangu
1. Tuhuma hizi kwa Serikali ya Tanzania ni ama zimewahi ama hazina msingi wowote kwakuwa billionaire Gautam Adani hana mkataba wowote na Serikali ya Tanzania japo ameonesha nia ya kuwekeza kwa kutumia Sheria , kanuni na taratibu za PPPC.
2. Hata hivyo kinachomsibu Gautam Adani Kwa sasa ni tuhuma tu tena za Upande mmoja na kwa kuzingatia dunia hii ya mnyukano wa vita za Kiuchumi tusiende mbio kwenye lawama badala yake tujiuluze kwanini Marekani yenyewe imruhusu billionaire Gautam Adani awekeze kiasi Cha US$ 10bn na hivyo kutoa ajira zaidi ya 15,000 kwa wamarekani?
3. Hata hivyo, hakuna mahali Serikali ya Tanzania wala Mkurugenzi wa PPP Bw David Kafulila wamemtetea billionaire Gautam Adani au mwekezaji mwingine yeyote.
4. Kwa msiofahamu kazi mojawapo ya PPPC ni kuueleza umma wa Tanzania ( Public ) kuhusu uwekezaji na wawekezaji wenye nia ya kuwekeza kwenye PPP kwa kuzingatia zaidi masilahi mapana ya Taifa la Tanzania.
5. Lazima tufahamu kwanini PPPC anafanya hivi, lengo na nia ni kuufanya Umma ( Public) uelewe kila kitu tangu mwanzo kabisa wa mradi hasa kwenye hatua ya mwekezaji kuonesha nia badala ya Umma kuja kuletewa mkataba ulosainiwa bila kujua mchakato wa uwekezaji huo ulianza lini na kwa namna gani na masilahi kwa Taifa ni yepi hivyo kupoteza maana ya neno Public-Private
Tukumbuke Transparency ndio nguzo kuu katika ndoa yoyote ile ya PPP na faida yake ni hii Leo Watanzania wanamjadili Adani nje ndani ni kwa sababu wameshirikishwa mapema na kwa uwazi kabisa juu ya nia yake hiyo.
Pia soma: Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
search.app
search.app
#SAMIAMITANOTENA
My countryKufuatia kashfa hii ya kibiasha ya makampuni ya billionaire Gautam Adani na yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii hasa jukwaa hili na vyombo mablimbali vya habari vya ndani na nje ya Tanzania hasa kwa kuishambulia Serikali ya TANZANIA na watendaji wake.

Huu wako uchawa tuNashauri apewe tenda tena isiwe na ukomo.