Gautam Adani na kashfa ya rushwa Marekani: Je, ni nini hatma ya TANESCO na PPP ya David Kafulila, tenda apewe au atoswe?

Wewe ndio umerogwa usisemee wengine. Mpaka Leo unaamini serikali ya CCM ni safi? Haina ufisadi?. Ok Baki na ujinga wako.
Hakuna serikali hata moja afrika ambayo CAG wake anatoa hati zote safi kwa taasisi anazozikagua.

Hata CHADEMA wakipewa serikali kesho asubuhi ufisafdi utaendelea kama kawaida.

Hata Kalamu akipewa nafasi ya urais kesho mchana, wizi kwenye mashirika ya umma utaendelea kama kawaida.
 
Tanzania inapendwa sana na Mungu
 
Mbona Tanzania hawamuondoi Bandarini pamoja na kashfa hizo zote?
 
Mungu ainuliwe
 
My country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…