Gautam Adani na kashfa ya rushwa Marekani: Je, ni nini hatma ya TANESCO na PPP ya David Kafulila, tenda apewe au atoswe?


Haya mambo ya Taneso kuingia mikataba kiholela isitishwe kwa manufaa ya uma
 
Tanzania tuache woga lakini
 
Wewe ni Kafulira bila shaka
 
Sasa tuhuma tu tena za kutoa rushwa ila kumbe pesa wanayo
Sio tuhuma wamekua charged. Pia kwa kampuni kubwa kuingia scandal ya rushwa kubwa hivyo tena kwenye nchi Kama US inashusha credibility yake. Hapo tegemea hisa zao pia kushuka na pia bleaches of contracts kwa sehemu nyingi

Hata huku la tanesco hawawezi tena kupata, sababu itaifanya nchi kuchafuka kwa investors wengine
 
mr wash wash adani arrested
 
Wakati mwingine ni vita tu za kibiashara lakini ngoja tuone mwisho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…