Gautam Adani na kashfa ya rushwa Marekani: Je, ni nini hatma ya TANESCO na PPP ya David Kafulila, tenda apewe au atoswe?

Mwambieni tumbili kafulila arudishe hela ya huyu tapeli

Sasa tofauti ya kafulila na akina judge werema aliowatuhume kwenye skandali ya escrow iko wapi?
 
Ndo huyu alikuwa anapigiwa chapuo na kafulila????
 
Kumbe ndo huyu tapeli amechukua Gati kule bandarini

Mama Abdul anajitafutia anguko kuu kupitia hii bandari
 
Viongozi wa TZ wanapenda Rushwa sana ,huyo Adani atakumbatiwa hadi Mwisho ,hakuna wa kumpinga ,watu washavuta mpunga wamejenga Mansions MBWENI JKT unafikiri watarudisha?
 
Na kwa nini mashirika yetu yashindwe kujiendesha? Tatizo si ni usimamizi dhaifu wa serikali kuanzia rais. Yaani wanalea uzembe upigaji na ulaji rushwa. Hapa uelewe wanapowaleta kina Adani kuendesha mashirika ya taifa tunachosema ni uendelezaji tu wa ulaji rushwa. Mifano ipo tele.
 
Umekuwa ni utamadani wetu, hilo swali linawagusa mpaka wazazi wetu waliofanya kazi serikalini wakati wa awamu ya kwanza.

DPW wameongeza tija pale TPA, na yapo mashirika mengi ya kigeni yanakuja na ufanisi wenye uzoefu unaoweza kujulikana kupitia mitandao ya habari.
 
DPW wameongeza tija pale TPA, na yapo mashirika mengi ya kigeni yanakuja na ufanisi wenye uzoefu unaoweza kujulikana kupitia mitandao ya habari
Hujajibu hata siku moja kwa nini tusi binafsishe serikali ya Samia kwa hayo hayo mashirika toka nje kama unavyo rudia rudia humu JF kila siku.
Naona kwa sababu uijuayo mwenyewe, akili yako inaishia tu kwenye hayo mashirika, lakini haiwezi kamwe kuona ubovu uliopo huko huko serikalini na viongozi wake wote wakuu chini ya huyo Samia.

Kama DPWorld kaweza kufanya vizuri bandarini, kama unavyo dai wewe; kwa nini unaona ugumu wa kmwondoa Samia na serikali yake na tuwaweke hata hao hao DPWorld au wengine unao dhani wewe ndio wenye uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi zaidi (kwa manufaa ya nani?).
 
Umwondoe Samia kisa mkataba mmoja wa DPW, huo utakuwa upunguani wa kiwango cha juu sana.

Samia anafanya kazi kubwa sana ya kuifungua nchi ukimuangalia katika muktadha wa chuki huwezi kuthamini chochote anachokifanya.
 
Umwondoe Samia kisa mkataba mmoja wa DPW, huo utakuwa upunguani wa kiwango cha juu sana.

Samia anafanya kazi kubwa sana ya kuifungua nchi ukimuangalia katika muktadha wa chuki huwezi kuthamini chochote anachokifanya.
EEEEeeeennnHEEEE!
"Mkataba mmoja wa DPW"?

Hivi kweli unaelewa kinacho jadiliwa humu kuhusu haya maswala?
Ndiyo, ninakubaliana nawe kwamba "anaifungulia nchi" kila aina ya uchafu uingie ndani.

Kwa bahati mbaya sana ni huyo huyo Samia mwenyewe anaye zidi kuueneza uchafu wa kila aina nchini.
Wewe hutaki kuona, kwa sababu ni sehemu ya uchafu huo huo.
 
Maendeleo hayapatikani kwenye nchi zinazojaa wapiga domo wengi. Mwalim Nyerere alikuwa na akili hizi hizi za Kalamu akiwa Rais lakini kuna miaka ikafika mambo yakazidi kuharibika, mwenyewe akasalimu amri. Alipoingia Mwinyi akakubaliana na SAP za Benki ya Dunia.

Magu alikomaza kichwa na watu wakawa wanaanza kuumia kiuchumi, Samia kaamua kufuata njia anazoamini na zitatufikisha mbali.

Bahati mbaya wanaopinga uchumi wa kisasa huwa hawana mawazo mbadala yenye tija kwa kiongozi mkuu, wanaishia kupinga tu, kwa maana hiyo hawafai hata kupewa kipaumbele.
 
Sijawahi kuona nchi yoyote iliyo jaa mafisadi ikiwa na ufanisi wowote.
Tanzania chini ya Samia imeingia hasara kubwa sana katika hii miaka michache aliyo shika madaraka.
 
Kafulila amejitahidi kumtetea mtoa asali kiufundi
 
Secretary Yuko magogoni! Ameziba masikio
 
Sijawahi kuona nchi yoyote iliyo jaa mafisadi ikiwa na ufanisi wowote.
Tanzania chini ya Samia imeingia hasara kubwa sana katika hii miaka michache aliyo shika madaraka.
Hasara za Samia unaweza kuzilinganisha na zile alizozisababisha hayati JPM?.

Kila siku tunalipa mabilioni ya pesa kwa makampuni ya kigeni kwa ujeuri wake katika mahusiano ya kibiashara.

Mkuu punguza kupumua huku moyo ukiwa umejawa na chuki.
 
Mwigulu bears overall political responsibility kwa Wizara, hawa akina Adan ni watu ambao Kafulila kila siku anawaita waje, kumbe Kafulila amenusa kwamba wa naweza kutoa rushwa ya dola milioni Mia mbili hamsini, na yeye atapata mgao
Kafulila unamjua vizuri lakini?
Kama alikataa Bil 3 akiwa kijana mdogo sebuse Leo?

Kuwa makini sana unapomtaja Kafulila kwenye mambo ya ajabu ajabu
 
Mwambieni tumbili kafulila arudishe hela ya huyu tapeli

Sasa tofauti ya kafulila na akina judge werema aliowatuhume kwenye skandali ya escrow iko wapi?
Sasa atapewa hela kabla ya mkataba?
 
Tanzania baadhi ya wanaopewa dhamana wanatumia miwani ya mbao, a.k.a kujizima data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…