Gavana Luoga akitoa takwimu za mchango wa kanda ya ziwa kwenye uchumi wa Tanzania

We pimbi wa makete hapo makete kuna nini zaidi ya UKIMWI na ufakara uliotopea!
Tumbavu, mtu umepauka miguu imeliwa funza afu unakuja hapa unabana pua kuita watu maskini!. Nyambafu!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umeishiwa hoja,usilinganishe wakinga na vitu vya kijinga
 
Sasa watu wanazaana hovyo kama wanyama then unategemea nini
 
Tunahesabiwa from where si kwenye kile tulichozalisha au?

Na nyie mnahesabiwa kutoka mlichozalisha,sasa mnapozaana hovyo huku tija yenu ni ndogo nani alaumiwe?

Lake zone ingekuwa nchi mngekuwa failed state kama Nigeria
 
Sasa kamuulize gavana
 
Sasa kamuulize gavana

Ni data za kijinga sana unalinganisha mikoa zaidi ya mitano na mikoa miwili ya kati! . Kipimo cha ukweli ni kuchukua uchumi wao wote na kugawanya na idadi ya watu ili tujue kila Mtanzania wa sehemu hivyo anachangia kiasi gani. Mfano China ina kipato zaidi ya Japan lakini wa japan wananchi wake wana kipato kikubwa sana kulinganisha na china maana China ina watu wengi sana.
 
Sasa watu wanazaana hovyo kama wanyama then unategemea nini
Nasikia huko Kilimanjaro wazee wanauliwa kama kuku ili vijana warithi vihamba. Wanawake mpaka wanaenda kukodi wanaume Kenya wawaoekeee motooooo🔥🔥🔥🔥🔥

Vijana nao hali mbaya, wamebaki kukimbia kimbilia mikoa ya watu, wengine mpaka wanafir***w siku hizi.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] eti mwamposa .

Ila watu wa Moshi walizingua[emoji28][emoji28] waliokufa walizidi Hadi waliokufa kwenye tetemeko la 2016 la bukoba
 
Tunahesabiwa from where si kwenye kile tulichozalisha au?

Na nyie mnahesabiwa kutoka mlichozalisha,sasa mnapozaana hovyo huku tija yenu ni ndogo nani alaumiwe?

Lake zone ingekuwa nchi mngekuwa failed state kama Nigeria
Mfano tu njombe inazalisha Nini zaidi ya mkoa wa kagera? Labda miti tu?

Kagera wanazalisha ndizi 64%,kahawa55%,vannilla 80%,miwa Sukari 35%, samaki kupitia uvuvi,maharage 36%,chai ,bado biashara za mipakani nk nk
 
Atakuambia avocado[emoji1649] za mia mbili mia mbili.
 
Yap, hata karagwe zipo nyingi tu, ila mtu mfupi mbishi maskini wa makete Opportunity Cost atabisha.
Makete hakuna maskini,maskini mnapatikana huko kanda ya ziwa ukiwemo wewe ndio maana unahangaika tuu hapa.Kama zipo huko Karagwe mbona hatuoni zikiwanufaisha na kuwatoa kwenye kuongoza kwa umaskini kama kwetu Makete/Njombe?
 
UPUUZI
 
Huyo Mungu ameona amuondoe duniani kwa muda huu na yeye Mungu kuna alichokiona ambacho sisi hatukufahamu na jina lake lihimidiwe kwani kazi yake haina makosa.
 
Kuhusu population, kilimanjaro ni mkoa mdogo kuliko mikoa yote na ina watu zaidi ya 1.6mil, wakati shinyanga ina watu 1.5mil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…