KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kinachokusumbua ni lugha za kumuombea marehemu.Sisi waislamu tunawaombea waislamu wenzetu dua na sio R.I.P,,, mzungu akitia neno nanyi mnaiga bila hata kujua lina maana gani,,,pole dada.
Rais ni kiongozi wa wananchi @lu ma ga lazima aongoze kwa mfano wa kuigwahivi siku hizi rais ndiyo anayeangalia utawala binafsi wa watu shame on you
Atakua ametumwa India kama kipindi kileAcha masihara Mkuu.
Je, unaweza kutujulisha aliko Mhe. Job Yustino Ndugai?
Ukristo umetokea uzunguniSisi waislamu tunawaombea waislamu wenzetu dua na sio R.I.P,,, mzungu akitia neno nanyi mnaiga bila hata kujua lina maana gani,,,pole dada.
Punguza povu mkuu, stone lina tatizo mahala fulani. Ukikataa hilo na wewe tunakuunganisha.Wewe ni moja ya watu wapumbavu sana hapa jf!
Huyo jiwe yupo ulaya, marekani, uchina, russia, india, blazil na kwingineko ambako malaki ya watu wamekufa?
Huyu jiwe naona hata mkigongewa wake zenu mtamsingizia kumbe ni uzembe wenu wa kutowaridhisha.
Usihofu kaka, ni maneno ya kawaida na si dua, ni sawa na kusema sisi wote ni wa muumba na kwake tutarejea.Huyu ni Mkristo.Hiyo si ni kwa Waislamu tu?!!
We una hakika anaenda kuadhibiwa mpaka useme apunguziwe adhabu? Au umeamua kuandika kama mazoea ya maandazi wengine wanavyojiandikia?Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi maana sisi sote ni wapitaji tu hapa duniani...so sad,[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hata km ni mwema ila kumuombea dua njema mwenzio ni moja ya ustaarabu ila ww unae ona km nimefanya maandazi poa.We una hakika anaenda kuadhibiwa mpaka useme apunguziwe adhabu? Au umeamua kuandika kama mazoea ya maandazi wengine wanavyojiandikia?
Hujaelewa badoHata km ni mwema ila kumuombea dua njema mwenzio ni moja ya ustaarabu ila ww unae ona km nimefanya maandazi poa.
Ninyi ndio wenye shida! Yani kwenye janga la corona unawezaje kusema rais anawaua makusudi?Punguza povu mkuu, stone lina tatizo mahala fulani. Ukikataa hilo na wewe tunakuunganisha.
Inawezekana ikawa ni kwa makusudi bila ya kukusudia, wala usipate presha mkuu, acha watu watoe ya moyoni kwani mwenye kaya hasomeki. Hili linaleta mkanganyiko sana kama baba nyumba haeleweki, kuna wakati watu wenye kutumia bongo zao vizuri hufikiri kuna tatizo somewhere. Tumuombee hekima tu.Ninyi ndio wenye shida! Yani kwenye janga la corona unawezaje kusema rais anawaua makusudi?
Dunia nzima inahaha kuna nchi watu mpaka leo wako karantini, sisi hapa tulipaswa kumshukuru Mungu maana ingetupiga kama kwa wenzetu tungekufa si tu kwa corona bali kwa hofu na njaa,! Alafu jitu kinakuja hapa eti rais anaua watu. Ujinga kabisa
Hazina miaka 70?,acha mzaha weweDuh, tumepoteza hazina kubwa sana.
Miaka 70 ameondoka mapema?RIP Prof. Beno Ndulu; umeondoka mapema mno Profesa!
Acha uboya kama baba yako. Unadhani Tanzania hakuna watu wengi waliokufa? Na mbaya zaidi nchi za Ulaya wanaokufa wengi ni wazee wa miaka 70+ lakini hapa kwetu wanakufa mpaka watu wa miaka 30 kwa ajili ya ujinga wa mtu mmoja. Of course hata kama uongozi ungekuwa makini vifo havingekosekana ila vingepungua sana.Ninyi ndio wenye shida! Yani kwenye janga la corona unawezaje kusema rais anawaua makusudi?
Dunia nzima inahaha kuna nchi watu mpaka leo wako karantini, sisi hapa tulipaswa kumshukuru Mungu maana ingetupiga kama kwa wenzetu tungekufa si tu kwa corona bali kwa hofu na njaa,! Alafu jitu kinakuja hapa eti rais anaua watu. Ujinga kabisa
Wew huna akili, kwa hiyo sasa vifo hakuna tu?Apumzike kwa amani.
Halafu kuna jitu linasema vifo vipo tu. Afe yeye basi