Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nadhani ni alert nzuri kwa Walio madarakani....watajiona hawako salamaRIP,Tunapoteza watu muhimu kwa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ni alert nzuri kwa Walio madarakani....watajiona hawako salamaRIP,Tunapoteza watu muhimu kwa taifa
Mmhh!Mh Spika yu wapi?
Subiri utinge kwenye familia yenu urudi uandike ulicho kusema hapa.
Acha masihara Mkuu.Mmhh!
Unamhitaji?
Kuna naibu wake anaweza kukuhudumia
Apumzike kwa AMANIKwa taarifa za uhakika ni kuwa aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu ametangulia mbele ya haki.
Profesa Benno Ndulu amefariki dunia asubuhi ya leo Februari 22, 2021 katika Hospitali ya Kairuki alipokuwa akipatiwa matibabu.
Profesa Ndulu alihudumu nafasi ya Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT) kuanzia mwaka 2008 - 2018.
Alizaliwa Januari 23, 1950 (Miaka 71).
View attachment 1708828
Profesa Benno Ndulu enzi za uhai wake
Sasa huoni kuwa ni vibaya karne hii kuishi bila kujua chanzo cha kifo...?Utinge usitinge, bado nasema si kila anaekufa amekufa kwa Corona. Kilichomuua Benno sikijui na sijakiona kikitajwa hapo, huenda ni COVID, Huenda sio COVID. Kabla ya Covid watu bado walikua wanakufa
Unamuuliza nani?Mh Spika yu wapi?
Ahsante kwa ung'eng'eKwa wale wasiojua Wasifu wake
Professor Benno Ndulu was the governor of the Bank of Tanzania, the country's central bank, from 2008 to 2018.
Born: January 23, 1950 (age 71 years)
Education: Northwestern University
Kwakweli Sijui alipo.Acha masihara Mkuu.
Je, unaweza kutujulisha aliko Mhe. Job Yustino Ndugai?
Jaribu kumcheki home kwake kwanza,ukimkosa huko ndiyo uje utuulize humu!!Acha masihara Mkuu.
Je, unaweza kutujulisha aliko Mhe. Job Yustino Ndugai?
Hichi kirusi achana nacho aiseeDah hii second wave ni hatari sana...mchina kaongeza virus...