TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

Sio kila anaekufa, hasa akiwa public figure, amekufa kwa COVID. Huu ugojwa hauzuii magonjwa mengine yaliyokua yanaua sana kuendelea kuua. Lets not forget that.
Uwe unafikiria japo kwa aslimia moja ya ubongo wako, kwa nini kwa kipindi kifupi hivi huko nyuma mbona haukua hivi? Ndio nyinyi badala ya kutamka corona mnatamka changamoto za kupumua
 
Utinge usitinge, bado nasema si kila anaekufa amekufa kwa Corona. Kilichomuua Benno sikijui na sijakiona kikitajwa hapo, huenda ni COVID, Huenda sio COVID. Kabla ya Covid watu bado walikua wanakufa
Walikua wanakufa kwa kasi hii? Mbona mna[enda kujitoa fahamu? Ndani ya wiki moja tumewapoteza maalim Seif, Kijazi, Likwilile, Ndulu na wengineo
 
Kwa taarifa za uhakika ni kuwa aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu ametangulia mbele ya haki.

Profesa Benno Ndulu amefariki dunia asubuhi ya leo Februari 22, 2021 katika Hospitali ya Kairuki alipokuwa akipatiwa matibabu.

Profesa Ndulu alihudumu nafasi ya Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT) kuanzia mwaka 2008 - 2018.

Alizaliwa Januari 23, 1950 (Miaka 71).

View attachment 1708828
Profesa Benno Ndulu enzi za uhai wake
Ohh my God

Halaf lijinga flan linabwabwaja tu Ujinga na Ushamba wake kwenye mimbari za Kanisa kwanini lisife lenyewe hivi?
 
Apumzike kwa amani; alifanya mema wakati wake.

Ila sasa vifo vyote vwa watu maarufu visiwe kete za kisiasa kutumia korona. Watu wengi kwenye madaraka hutokea kuwa overweight na huweza wana matatizo mengine ya kiafya yanayoweza kuathiri uhai wao.
Acha kudanganya watu, kumbuka kuna selikali ambayo huendeshwa kwa maslahi ya watu Fulani. Halafu kuna dini, ukiona hawa watu wameanza kupingana katika kusema ukweli ujue kuna jambo
 
Kwa wale wasiojua Wasifu wake

Professor Benno Ndulu was the governor of the Bank of Tanzania, the country's central bank, from 2008 to 2018.

Born: January 23, 1950 (age 71 years)

Education: Northwestern University
Wasifu umeanza na kuishia hivyo tu!
 
R.I.P

Abiria chunga mzigo wako, walau Magufuli anatambua risk zilizomzunguka kila siku na yupo tayari kwa lolote.

Vinginevyo kwa wanaothamini maisha ukishajijua tia maji tia maji ata wajukuu uwakalie mbali maana hao ndio hatari zaidi watoto wengi wakipata COVID ata dalili awaonyeshi inapita kwao bila ya wao kujua. Ndio maana huko kwa mabeberu chekechekea na primary schools huwa sehemu za kwanza kuzifungulia wanapotoa lockdown.

Sasa kama wknd governor alikuwa anacheza na watoto wa Ndulika lazima ile kwake.

Maisha yaendelee lakini kwa wengine wanahitaji umakini zaidi na kujilinda ni jukumu lao, ningekuwa mimi nipo high risk sasa hivi ningekuwa nimeanzisha vita ya kuagiza chanjo; hakuna namna.

Jaji Mihayo keshaonyesha mfano pamoja na kusimangwa wee kwenye hotuba ya raisi kanisani kisa kuvaa barakoa lakini ajatoa.
 
Utinge usitinge, bado nasema si kila anaekufa amekufa kwa Corona. Kilichomuua Benno sikijui na sijakiona kikitajwa hapo, huenda ni COVID, Huenda sio COVID. Kabla ya Covid watu bado walikua wanakufa
Tulia wewee
 
May the almighty God rest his soul in eternal peace. Amen
 
Acha kudanganya watu,kumbuka kuna selikali ambayo huendeshwa kwa maslai ya watu Fulani.halafu kuna dini,ukiona hawa watu wameanza kupingana katika kusema ukweli ujue kuna jambo
Pumba tupu!!
 
Lakini tusifike mahali tukakufuru, miaka 71 siyo haba na ndiyo miaka iliyosemwa kwenye imani za dini. Miaka ya mwanadamu itakuwa miaka 70 lakini anaweza kwenda mpaka miaka 80 kama ana nguvu! Sasa Prof. Ndulu kapiga 71 yaani kapewa na bonus ya mwaka mmoja! Mungu ampumzishe kwa amani mahali anapostahili!
 
Back
Top Bottom