Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mwandiko ...Gavana mstaafu wa benki kuu ya Tanzania (BOT) Benno Ndulu amefariki dunia katika hospitali ya Hubert Kaiuruki Memorial alipokua anafanyiwa matibabu. Mungu amlaze mahali pema peponi. Amin
View attachment 1708889
Kila Jambo ni kumshukuru Mungu, mimi mdingi wangu aliondokaga na 65 tu hata hakufaidi kucheza na wajukuu zake vizuri!!Lakini tusifike mahali tukakufuru, miaka 71 siyo haba na ndiyo miaka iliyosemwa kwenye imani za dini. Miaka ya mwanadamu itakuwa miaka 70 lakini anaweza kwenda mpaka miaka 80 kama ana nguvu! Sasa Prof. Ndulu kapiga 71 yaani kupewa na bonus ya mwaka mmoja! Mungu ampumzishe kwa amani mahali anapostahili!
Haina shida, mie mwenyewe nimepoteza Baba tangu wiki mbili zilizopita. Nikisikia habari ya kifo moyo ynakupuka ndugu yangu Vumilika pia ni msemo wa wahenga.Samahani ndugu Myetu mwaka hauna kosa kwani ni kama nyakati zingine zozote, bali sisi wanadamu ndiyo wenye matatizo. Mwaka haujaleta virusi wala magonjwa ya aina yoyote, kilichobaki tuchukue tahadhari kwani Corona ipo na inaondoa uhai na magonjwa mengine pia yapo na yanaondoa uhai. Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa kuwa siyo nia yangu.
Kuna wakati inabidi utumie akili zako.Wwe unaonekana ni mkurupukaji,ungekua Raisi wetu ungesha tuingiza chaka la Machanjo ya majaribio,Bora Mungu katuletea Magufuli,anajua kuusoma vizuri mchezo wa Mabeberu dhidi ya Africa!!
... tatizo tumezoea vifo vya mapema hadi tunaona kawaida. Life expectancy (2018) za wengine hizo hapo Mkuu; tunastahili kuishi sio kufa - Sweden - 82.56; Norway - 82.76; Finland - 81.73; Denmark - 80.95; Japan - 84.21; UK - 81.26; US - 78.54; France - 82.72.Sio mapema he's 71 mnadamu alitezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi miaka 70akiwa na nguvu 80 kinyume chake ni shida na ubatili na taabu
Tatizo lako una slave minds!!
... tatizo tumezoea vifo vya mapema hadi tunaona kawaida. Life expectancy (2018) za wengine hizo hapo Mkuu; tunastahili kuishi sio kufa - Sweden - 82.56; Norway - 82.76; Finland - 81.73; Denmark - 80.95; Japan - 84.21; UK - 81.26; US - 78.54; France - 82.72.Sio mapema he's 71 mnadamu alitezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi miaka 70akiwa na nguvu 80 kinyume chake ni shida na ubatili na taabu
Vipi wewe unachukua tahadhari lakini ikiwa pamoja na kuaachana na michepuko!? Maana kuna wengine wamekariri tahadhari za WHO tu lakini huku upande wa pili games kama kawa!!Pengine ikawa hivyo
Hao hata ukiwakumbusha vipi hawatakuelewa, maana akili zao zimeshakaa ki Corona Corona!!Sio mapema he's 71 mnadamu alitezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi miaka 70akiwa na nguvu 80 kinyume chake ni shida na ubatili na taabu
Miaka 71 mapema?RIP Prof. Beno Ndulu; umeondoka mapema mno Profesa!