HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ndo maana alitolewa mapemaHuyu Gavana alikuwa anasigishana na raia namba moja kuhusu matumizi holela ya pesa ya huyu raia.
May his memory always be a blessing!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana alitolewa mapemaHuyu Gavana alikuwa anasigishana na raia namba moja kuhusu matumizi holela ya pesa ya huyu raia.
May his memory always be a blessing!
Magufuli hakerekwi na watu kuvaa Barakoa, ndiyo swala hilo kaliacha wazi kwa kila mtu afanye anavyojisikia yeye kutokana na Mwili wake! Maana kuna wengine wakivaa Barakoa ndiyo wanazidi kukosa pumzi na wengine wanapenda kuvaa Barakoa na wengine wanavaa Barakoa kwa kufuata mkumbo tu!!Kuna wakati inabidi utumie akili zako.
Magufuli as a scientist anatambua COVID awezi ishi nje ya mwili kwa muda mrefu kwa joto la Dar which is true, mtu huyo huyo anataka barakoa zilizopigwa na joto kwa miezi kadhaa watu wasivae; where is the logic.
Imefikia hatua anawananga hata watu wa dini kwa kuvaa barakoa, ina maana yeye anajua kumuomba mungu kushinda wahubiri?
He should not dictate the choices of overs yeye kama kaamua kumuachia mungu sawa (we all pray to him atuondelee ili balaa) lakini asibeze watu kwa kuchukua tahadhari.
Sawa ajakataza barakoa lakini kutwa kuwananga wanaovaa, mpaka unajiuliza kwanini yeye akerekwe watu kujilinda.
Kwa yeyote mwenye akili timamu, anajua kuwa corona Ina mchango mkubwa sana kwa vifo vinavyojitokea sasa.Sio kila anaekufa, hasa akiwa public figure, amekufa kwa COVID. Huu ugojwa hauzuii magonjwa mengine yaliyokua yanaua sana kuendelea kuua. Lets not forget that.
Endelea kuchukua tahadhari.Vp wwe unachukua tahadhari lakini,ikiwa pamoja na kuaachana na michepuko!? Maana kuna wengine wamekariri tahadhari za WHO tu,lakini huku upande wa pili games Kama kawa!!
Sasa makuzi ya mtu Mweusi na mtu mweupe unataka kuyalinganisha vipi hapo!?... tatizo tumezoea vifo vya mapema hadi tunaona kawaida. Life expectancy (2018) za wengine hizo hapo Mkuu; tunastahili kuishi sio kufa - Sweden - 82.56; Norway - 82.76; Finland - 81.73; Denmark - 80.95; Japan - 84.21; UK - 81.26; US - 78.54; France - 82.72.
Hiyo ndio argument yake hajazuia barakoa, but he is not a good ambassador on its usage.Magufuli hakerekwi na watu kuvaa Barakoa, ndiyo swala hilo kaliacha wazi kwa kila mtu afanye anavyojisikia yeye kutokana na Mwili wake! Maana kuna wengine wakivaa Barakoa ndiyo wanadhidi kukosa pumzi na wengine wanapenda kuvaa Barakoa,na wengine wanavaa Barakoa kwa kufuata mkumbo tu!!
Miaka 71 bado unasema kaondoka mapema. Bora useme kaondoka bado tunamuhitaji..RIP Prof. Beno Ndulu; umeondoka mapema mno Profesa!
@Kichuguu huko ni kujidanganya na kujifurahisha nafsi . Corona ipo na imakula vichwa [emoji87][emoji3517]Apumzike kwa amani; alifanya mema wakati wake.
Ila sasa vifo vyote vwa watu maarufu visiwe kete za kisiasa kutumia korona. Watu wengi kwenye madaraka hutokea kuwa overweight na huweza wana matatizo mengine ya kiafya yanayoweza kuathiri uhai wao.
Hakuna aliyesema kuwa kuwa korona haipo, ila siyo kweli kuwa kwa vile korona ipo basi kila kifo kinasababishwa na korona !@Kichuguu huko ni kujidanganya na kujifurahisha nafsi . Corona ipo na imakula vichwa [emoji87][emoji3517]
...tatizo tumezoea vifo vya mapema hadi tunaona kawaida. Life expectancy (2018) za wengine hizo hapo Mkuu; tunastahili kuishi sio kufa - Sweden - 82.56; Norway - 82.76; Finland - 81.73; Denmark - 80.95; Japan - 84.21; UK - 81.26; US - 78.54; France - 82.72.Miaka 71 bado unasema kaondoka mapema. Bora useme kaondoka bado tunamuhitaji..
... tujifunze kwa waliofanikiwa Mkuu.Sasa makuzi ya mtu Mweusi na mtu mweupe unataka kuyalinganisha vp hapo!?
... tatizo tumezoea vifo vya mapema hadi tunaona kawaida. Life expectancy (2018) za wengine hizo hapo Mkuu; tunastahili kuishi sio kufa - Sweden - 82.56; Norway - 82.76; Finland - 81.73; Denmark - 80.95; Japan - 84.21; UK - 81.26; US - 78.54; France - 82.72.Miaka 71 mapema?
Kwani Kichuguu, mna arllegy na Corona ?!. Siwaelewi !!Hakuna aliyesema **** kuwa korona haipo, ila siyo kweli kuwa kwa vile korona ipo basi kila kifo kinasababishwa na korona !