Kuna wakati inabidi utumie akili zako.
Magufuli as a scientist anatambua COVID awezi ishi nje ya mwili kwa muda mrefu kwa joto la Dar which is true, mtu huyo huyo anataka barakoa zilizopigwa na joto kwa miezi kadhaa watu wasivae; where is the logic.
Imefikia hatua anawananga hata watu wa dini kwa kuvaa barakoa, ina maana yeye anajua kumuomba mungu kushinda wahubiri?
He should not dictate the choices of overs yeye kama kaamua kumuachia mungu sawa (we all pray to him atuondelee ili balaa) lakini asibeze watu kwa kuchukua tahadhari.
Sawa ajakataza barakoa lakini kutwa kuwananga wanaovaa, mpaka unajiuliza kwanini yeye akerekwe watu kujilinda.