TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

Pumzika Kwa Amani #PKA - Prof. Ndullu
Rest In Peace #RIP - Prof. Ndullu
 
Dah.. my utmost condolences to his family. May his soul rest in etrnal peace
 
Apumzike kwa AMANI

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Utinge usitinge, bado nasema si kila anaekufa amekufa kwa Corona. Kilichomuua Benno sikijui na sijakiona kikitajwa hapo, huenda ni COVID, Huenda sio COVID. Kabla ya Covid watu bado walikua wanakufa
Sasa huoni kuwa ni vibaya karne hii kuishi bila kujua chanzo cha kifo...?
Huoni kuwa taarifa za kisayansi zikitoka juu ya chanzo halisi cha kifo jamii inaweza kuwa salama zaidi!!
Ujinga wa kuficha maradhi utatumaliza...
 
Ili kunusuru nchi na watu wake, inabidi jiwe akamatwe, afungwe kamba na apewe dawa zake za ukichaa kwa lazima. Kichaa kimezidi. Nadhani Zambia waliwahi pata bahati mabaya ya kupata kiongozi mwenye matatizo ya akili lakini waliweza handle hiyo hali strategically.
 
Kwa wale wasiojua Wasifu wake

Professor Benno Ndulu was the governor of the Bank of Tanzania, the country's central bank, from 2008 to 2018.

Born: January 23, 1950 (age 71 years)

Education: Northwestern University
Ahsante kwa ung'eng'e
 
Duu! R.I.P prof. Beno Ndulo! Hakika taifa limepoteza mtu muhimu katika sekta ya benk na uchumi kwa ujumla! Mungu aipumzishe Roho yake kwa Amani!
 
Daah Majabali yanazidi kudondoka aisee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Wazee kama hawa ndo wanaumia sababu ya Upuuzi wa mjuaji mmoja.. Sayansi haidanganyi yanii ni muda sasa wa Viongozi kubadilika yani lasivyo wazee wetu wataisha. Thamani na muda unaotumika kutengeneza Proffesa mmoja ni kubwa sana alafu leo kitoto wanakufa kama kuku.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…