Gavana Ole Lenku na viongozi wa Kimaasai walaani tamko la rais Magufuli

mbona New Zealand, USA, Australia nk wanafuga lakini hakuna mamigogoro ya wakulima na wafugaji? kwanini afrika tu?
 
Sasa hivi ITV,wanasema Majambazi kutoka Kenya na kuiba ng'ombe 155,na kupakia kwenye Magari. baadhi wamekamatwa Horohoro.
Ndio majirani na ndugu wa damu hawa? tunao wataka waje tanzania kwenye amani yetu... hawa ndg zao wasomali hacha wapambane nao... hadi ktkt ya Nairobi na ktk ma wastegate mall
 
Shame on you magafuli you jus killed the eastafrican cooperation by your useless petty actions
Not magafuli say magufuli ,you can't even write poor you smh!
 
Mvua imenyesha kwa wingi Kajiado county. Nyasi zao wazikaange wale nazo sima. Tupatane tena kiangazi kikirudi. Kwani JPM ndo alipanda nyasi hizo?
Ngoja nisome tena comment yako nimeula wachuya
 
tayari tushafanya....baada ya kupiga mnada ile mifugo yenyu,tumefanya hivi[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Hao watanzania waliopo huko wamefuata sheria na taratibu za nchi husika haiwezekani watu kutoka nje wavuunje sheria za nchi yetu tuwaonee haya eti kisa wana uchumi mkubwa ooh mara majirani oooh sijui makabila yanaendana huo ni upumbafu wa kiwango cha lami !
 
Ndio mjifunze maisha yanabadilika sio kuishi utadhani ngedere
 
Maasai's kwa ujumla ni jipu.....na huezi tibu jibu la ndani kabla hujaanza na hawa wageni.......wamasai wa Tz mjipange panga linakuja kwenu haiwezekani mnazunguka na ngombe kila sehemu acheni uprimitive u have to settle
 
Kwahiyo Wasomali wa Mogadishu wanaruhusiwa kuingiza ngamia zao kenya huko Garrisa? Najaribu kuuliza tu nione hapo inakuwa je.
Wasomali kurudi Somalia hakuna shida. They have the right to move freely from kenya to Tanzania
 
tayari tushafanya....baada ya kupiga mnada ile mifugo yenyu,tumefanya hivi[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Hii mip[aka iliowekwa na Wazungu inawagawanyisha wamaasai. Huu ni upuzi
 
Maasai's kwa ujumla ni jipu.....na huezi tibu jibu la ndani kabla hujaanza na hawa wageni.......wamasai wa Tz mjipange panga linakuja kwenu haiwezekani mnazunguka na ngombe kila sehemu acheni uprimitive u have to settle
Hio ni mila na utamaduni ya watu wa Maa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…