Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio majirani na ndugu wa damu hawa? tunao wataka waje tanzania kwenye amani yetu... hawa ndg zao wasomali hacha wapambane nao... hadi ktkt ya Nairobi na ktk ma wastegate mallSasa hivi ITV,wanasema Majambazi kutoka Kenya na kuiba ng'ombe 155,na kupakia kwenye Magari. baadhi wamekamatwa Horohoro.
Not magafuli say magufuli ,you can't even write poor you smh!Shame on you magafuli you jus killed the eastafrican cooperation by your useless petty actions
Ngoja nisome tena comment yako nimeula wachuyaMvua imenyesha kwa wingi Kajiado county. Nyasi zao wazikaange wale nazo sima. Tupatane tena kiangazi kikirudi. Kwani JPM ndo alipanda nyasi hizo?
tayari tushafanya....baada ya kupiga mnada ile mifugo yenyu,tumefanya hivi[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]mtafanya
Hao watanzania waliopo huko wamefuata sheria na taratibu za nchi husika haiwezekani watu kutoka nje wavuunje sheria za nchi yetu tuwaonee haya eti kisa wana uchumi mkubwa ooh mara majirani oooh sijui makabila yanaendana huo ni upumbafu wa kiwango cha lami !So kwa uelewa wako wa mambo unaamini Tanzania can do without her neighbors Kenya etc!?nadhani huu ndiyo ule ulevi au mahaba ya kusifia kila kitu kinachofanya na kiongozi pendwa!Kenya ni Industrialized country, ipo kwy uchumi wa kati...ambapo Tanzania tunapambana kufa na kupona hili tufike,many Tanzanian wapo kule kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi na kujipatia riziki!Think outside the box bra.
Ndio mjifunze maisha yanabadilika sio kuishi utadhani ngedereMimi natokea kijiji cha EngareNaibor wilaya ya Longido ila tangia nikiwa mtoto tulikuwa tunachunga mifugo yetu upande waTanzania na upande wa Kenya bila kujali mipaka na wenzetu upande wa Kenya hivyo hivyo. Minada ya Namanga na Longido tunaleka mifugo yetu na kuuziana bila kubaguana na cha ajabu zaidi tumeoana bila ubaguzi tukijua wote ni wqmasai. Hili LA awamu hii ni kiboko na hatujawahi kuona tangu tupate Uhuru. Sijui mwisho wake.
Wasomali kurudi Somalia hakuna shida. They have the right to move freely from kenya to TanzaniaKwahiyo Wasomali wa Mogadishu wanaruhusiwa kuingiza ngamia zao kenya huko Garrisa? Najaribu kuuliza tu nione hapo inakuwa je.
Hii mip[aka iliowekwa na Wazungu inawagawanyisha wamaasai. Huu ni upuzitayari tushafanya....baada ya kupiga mnada ile mifugo yenyu,tumefanya hivi[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
![]()
Hio ni mila na utamaduni ya watu wa MaaMaasai's kwa ujumla ni jipu.....na huezi tibu jibu la ndani kabla hujaanza na hawa wageni.......wamasai wa Tz mjipange panga linakuja kwenu haiwezekani mnazunguka na ngombe kila sehemu acheni uprimitive u have to settle