Gavana wa Arusha atakuwepo uwanjani kuwaona wananchi?

Gavana wa Arusha atakuwepo uwanjani kuwaona wananchi?

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
Kama mjuavyo leo yanga fc watakipiga huko southAfrica.

Na kwa taarifa rasmi zilizotolewa na kiongozi ngazi ya mkoa hapo Arusha ni kuwa gavana wa arusha yupo likizoni akimalizia siku 28 za likizo za mtumishi hukohuko kusini mwa afrika.

Sasa swali ni je ataenda kuwatia moyo wananchi hapo uwanjani? Au hana interests na mpira?
Hitimisho
Kati ya zile siku 28 za likizo, zimebaki ngapi arejee ofisini?
 
Back
Top Bottom