Sentensi imekaa kimagomeni kabisa hii..!!!Gavana wa Arusha ni mzima wafya. Mlitaka umkute kwa mrombo akinywa supu
Hata Magu walisema hivi hivi kwamba ni mzima anachapa kazi, tena anawasalimia.Gavana wa Arusha ni mzima wafya. Mlitaka umkute kwa mrombo akinywa supu
Bado 14Kati ya zile siku 28 za likizo, zimebaki ngapi arejee ofisini
Tarehe 11 mwezi wa nane tunatarajia kumwona huyu mtumishi wa umma ofisini arusha akiwahudumia wananchi.Bado 14