McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Rais Samia anatarajiwa kushiriki kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es salaam, leo tarehe 30 Juni, 2026
Mashirika yanayotarajiwa kutoa gawio leo ni pamoja na:
Mashirika yanayotarajiwa kutoa gawio leo ni pamoja na:
- Twiga Minerals Corporation
- Airtel Tanzania
- Benki ya NMB
- Puma Energy
- TPDC
- Benki ya NBC
- Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)
- Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
- Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)
- Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)
- Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
- Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)
- Mamlaka ya Usalama na Afya Kazini (OSHA)