Kazi na utu, tunasonga mbele pamoja π€Rais Samia anatarajiwa kushiriki kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es salaam, leo tarehe 30 Juni, 2026
Mashirika yanayotarajiwa kutoa gawio leo ni pamoja na:
- Twiga Minerals Corporation
- Airtel Tanzania
- Benki ya NMB
- Puma Energy
- TPDC
- Benki ya NBC
- Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)
- Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
- Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)
- Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)
- Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
- Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)
- Mamlaka ya Usalama na Afya Kazini (OSHA)
Tanzania cigarettes company hawamo na TCCL?Rais Samia anatarajiwa kushiriki kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es salaam, leo tarehe 30 Juni, 2026
Mashirika yanayotarajiwa kutoa gawio leo ni pamoja na:
- Twiga Minerals Corporation
- Airtel Tanzania
- Benki ya NMB
- Puma Energy
- TPDC
- Benki ya NBC
- Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)
- Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
- Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)
- Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)
- Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
- Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)
- Mamlaka ya Usalama na Afya Kazini (OSHA)
Rais Samia anatarajiwa kushiriki kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es salaam, leo tarehe 30 Juni, 2026
Mashirika yanayotarajiwa kutoa gawio leo ni pamoja na:
- Twiga Minerals Corporation
- Airtel Tanzania
- Benki ya NMB
- Puma Energy
- TPDC
- Benki ya NBC
- Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)
- Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
- Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)
- Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)
- Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
- Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)
- Mamlaka ya Usalama na Afya Kazini (OSHA)
Umenikumbusha TTClNgoja tuone yale mashirika yanayo jiendesha kwa hasara yakitoa gawio kubwa kuliko walicho kipata na kutumia.
Samia sio Dr, alisomea wapi?!.Kazi na utu, tunasonga mbele pamoja π€
Kila la kheri Dr Samia Suluhu Hassan π₯
kwani wew akili mwili mzima na wivu useless ulivipata wapi gentleman? πSamia sio Dr, alisomea wapi?!.
Havimtoshi viatu!