Hisa ya nmb ni elfu mbili plus, ya crdb ni mia tatu plus. Unategemea gawio liwe sawa?Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-
(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.
Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.
Ishu hawajui life is numbers games. Everything is numbers gameHisa ya nmb ni elfu mbili plus, ya crdb ni mia tatu plus. Unategemea gawio liwe sawa?
Tena hapo crdb ndio ana gawio kubwa.
Kwa bei ya leoNaomba kujua hisa moja inauzwaje huko?
Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-
(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.
Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.
Hamia kwenye maslahi, pesa ni zako hisa ni zao
Hisa za CRDB leo zinauzwaTsh. 436,NMB 3,000.Gawio la CRDB Ni Tsh. 36,Gawio la Nmb Tsh.100Wenye hisa tuna haki ya kuuliza kwanini gawio lao ni kiduchu namna hiyo huku wakurugenzi wa hiyo benki wanapata mafao makubwa!! Kama benki ikipunguza gharama zake za uedeshaji ambazo ni dhahiri kuwa ni kubwa faida ya benki itakuwa ni kubwa na wanahisa tunastahiri kupata gawio kubwa kidogo. Itakuwa busara kama management watatoa maelezo ya maswali yanayoulizwa na wanahisa ambao hatukupata nafasi ya kuwa huko Arusha.
Justification ya kulipa shs. 36 per share kutokana na faida kubwa ambayo benki imetengeneza! Nini dividend policy ya CRDB?
Hisa za CRDB leo zinauzwaTsh. 436,NMB 3,000.Gawio la CRDB Ni Tsh. 36,Gawio la Nmb Tsh.100
Kwa lugha rahisi Tutafute' return/share:'
Kwa CRDB:36/436×100%=8.26%
Kwa NMB:100/3,000×100%=3.33%
Bado CRDB imerudisha return nzuri zaidi kulinganisha na NMB, provided that other factors are kept constant.
Nimetumia lugha ya ki-layman zaidi watu waelewe,haina haja kufikia huko kwny Ma DPS,EPS etc lkn inshort analysis ya maana itafanyika pale ambapo utakua na Financial Statements za Co. zote 2.
NMB na wao wameanzisha jasiri bond fund ambayo nayo wanatoa 8.5% per annum ambayo ni nzuri kuliko. Kupanga ni kuchagua ipi ni bora zaidi.Hisa za CRDB leo zinauzwaTsh. 436,NMB 3,000.Gawio la CRDB Ni Tsh. 36,Gawio la Nmb Tsh.100
Kwa lugha rahisi Tutafute' return/share:'
Kwa CRDB:36/436×100%=8.26%
Kwa NMB:100/3,000×100%=3.33%
Bado CRDB imerudisha return nzuri zaidi kulinganisha na NMB, provided that other factors are kept constant.
Nimetumia lugha ya ki-layman zaidi watu waelewe,haina haja kufikia huko kwny Ma DPS,EPS etc lkn inshort analysis ya maana itafanyika pale ambapo utakua na Financial Statements za Co. zote 2.
Dividend Payout Ratio ya NMB Ni 21.1%Hata hivyo ni vyema CRDB ikaweka wazi kwa wanahisa wake kuhusu DIVIDEND POLICY YAKE!! It seems shareholders are also concerned about the bank's operating costs. For a bank as big as CRDB ,they would save substantially if they adopted paperless banking!!
Tatizo hizi mambo za hisa Makampuni hua hayatoi elimu ya kina khs Hizo mambo za Dividend etc lkn siwalaumu Sana lugha ya Fedha sio kila mtu anaweza kuielewa.NMB na wao wameanzisha jasiri bond fund ambayo nayo wanatoa 8.5% per annum ambayo ni nzuri kuliko. Kupanga ni kuchagua ipi ni bora zaidi.
Sina hakika sana na rate za sasa baada ya BOT kushusha rate zao maana naona mashirika karibu yote hawatoi zaidi ya free risk rate ya BOT ambayo kwa sasa inacheza kwenye 12% kwa muwekezaji wa muda mrefu.Tatizo hizi mambo za hisa Makampuni hua hayatoi elimu ya kina khs Hizo mambo za Dividend etc lkn siwalaumu Sana lugha ya Fedha sio kila mtu anaweza kuielewa.
Naona hii Jasiri Bond wanaitangaza Sana kwny media,Nimeona Kuna mtu alisema Kule UTT Kuna scheme return yake kwa mwaka Ni 13%,Ila sijafuatilia vzr mkuu.
Lakini CRDB wana yao wanaita Mzigo fasta nadhani wao wanatoa 9% per annum. Huoni kuwa wako juu pia by 5%NMB na wao wameanzisha jasiri bond fund ambayo nayo wanatoa 8.5% per annum ambayo ni nzuri kuliko. Kupanga ni kuchagua ipi ni bora zaidi.