Gawio la hisa za CRDB

Gawio la hisa za CRDB

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-

(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.

Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.
 
Hisa ya nmb ni elfu mbili plus, ya crdb ni mia tatu plus. Unategemea gawio liwe sawa?

Tena hapo crdb ndio ana gawio kubwa.
 
Ukitaka uone gawio la CRDB ni kubwa jaribu kujiuliza mfano Tsh 10Million au any amont ungenunua hisa za CRDB ungepata hisa ngapi au ungenunua za NMB ungepata hisa ngapi? Halafu chukua idadi ya hisa ulizopata kwa kila bank uzidishe kwa kila gawio lake uone bank ipi ungepata faida kubwa in terms of dividends.
 
Naomba kujua hisa moja inauzwaje huko?
Kwa bei ya leo
Screenshot_20220524-000237.jpeg
 
Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-

(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.

Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.

Mkuu, nashauri utafute mtaalamu wa masuala ya kifedha ili akupe uelewa zaidi kuhusu sera za ugawaji wa gawio. Nitakupa maelezo mafupi kwa kuanzia.

... ni hivi, huwa hakuna sera bora zaidi ya nyingine kwenye utoaji wa gawio. Kuna makampunzi yanatoa gawio kubwa na bado haimaanishi wawekezaji wote watahamia huko, na kuna makampuni yanatoa gawio dogo au hawatoi kabisa na haimaanishi yanakosa wateja. Wanaotoa gawio dogo au kutotoa wanatumia sehemu kubwa ya hiyo faida kuiwekeza ili thamani ya hisa za wawekezaji wao ziongezeke.

NB: Ni jukumu la muwekezaji kutafuta kampuni yenye sera za ugawaji gawio zinazoendana naye na sio jukumu la kampuni kuendana na mahitaji ya muwekezaji mmoja mmoja.
 
Hamia kwenye maslahi, pesa ni zako hisa ni zao

Wenye hisa tuna haki ya kuuliza kwanini gawio lao ni kiduchu namna hiyo huku wakurugenzi wa hiyo benki wanapata mafao makubwa!! Kama benki ikipunguza gharama zake za uedeshaji ambazo ni dhahiri kuwa ni kubwa faida ya benki itakuwa ni kubwa na wanahisa tunastahiri kupata gawio kubwa kidogo. Itakuwa busara kama management watatoa maelezo ya maswali yanayoulizwa na wanahisa ambao hatukupata nafasi ya kuwa huko Arusha.
Justification ya kulipa shs. 36 per share kutokana na faida kubwa ambayo benki imetengeneza! Nini dividend policy ya CRDB?
 
Hisa za CRDB leo zinauzwaTsh. 436,NMB 3,000.Gawio la CRDB Ni Tsh. 36,Gawio la Nmb Tsh.100

Kwa lugha rahisi Tutafute' return/share:'
Kwa CRDB:36/436×100%=8.26%

Kwa NMB:100/3,000×100%=3.33%

Bado CRDB imerudisha return nzuri zaidi kulinganisha na NMB, provided that other factors are kept constant.

Nimetumia lugha ya ki-layman zaidi watu waelewe,haina haja kufikia huko kwny Ma DPS,EPS etc lkn inshort analysis ya maana itafanyika pale ambapo utakua na Financial Statements za Co. zote 2.
 
Hata hivyo ni vyema CRDB ikaweka wazi kwa wanahisa wake kuhusu DIVIDEND POLICY YAKE!! It seems shareholders are also concerned about the bank's operating costs. For a bank as big as CRDB ,they would save substantially if they adopted paperless banking!!
 
NMB na wao wameanzisha jasiri bond fund ambayo nayo wanatoa 8.5% per annum ambayo ni nzuri kuliko. Kupanga ni kuchagua ipi ni bora zaidi.
 
Dividend Payout Ratio ya NMB Ni 21.1%

Dividend Payout Ratio ya CRDB Ni 29.8%

Hii maana yake company's earnings after tax zinazolipwa kwenda kwa shareholder bado CRDB iko juu ya NMB.

Khs kwenda Paperless Naunga mkono hoja kwa 100%.
 
NMB na wao wameanzisha jasiri bond fund ambayo nayo wanatoa 8.5% per annum ambayo ni nzuri kuliko. Kupanga ni kuchagua ipi ni bora zaidi.
Tatizo hizi mambo za hisa Makampuni hua hayatoi elimu ya kina khs Hizo mambo za Dividend etc lkn siwalaumu Sana lugha ya Fedha sio kila mtu anaweza kuielewa.

Naona hii Jasiri Bond wanaitangaza Sana kwny media,Nimeona Kuna mtu alisema Kule UTT Kuna scheme return yake kwa mwaka Ni 13%,Ila sijafuatilia vzr mkuu.
 
Sina hakika sana na rate za sasa baada ya BOT kushusha rate zao maana naona mashirika karibu yote hawatoi zaidi ya free risk rate ya BOT ambayo kwa sasa inacheza kwenye 12% kwa muwekezaji wa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom