Tafuta EPS(Earning per share) kwa hisa za Nmb vs Crdb then utapata majibuWenye hisa tuna haki ya kuuliza kwanini gawio lao ni kiduchu namna hiyo huku wakurugenzi wa hiyo benki wanapata mafao makubwa!! Kama benki ikipunguza gharama zake za uedeshaji ambazo ni dhahiri kuwa ni kubwa faida ya benki itakuwa ni kubwa na wanahisa tunastahiri kupata gawio kubwa kidogo. Itakuwa busara kama management watatoa maelezo ya maswali yanayoulizwa na wanahisa ambao hatukupata nafasi ya kuwa huko Arusha.
Justification ya kulipa shs. 36 per share kutokana na faida kubwa ambayo benki imetengeneza! Nini dividend policy ya CRDB?