Zinaongopa kivipi? Angalia tovuti yao hiyo ofa ipo na mwenyewe nimeenda kuongea nao hiyo ofa ipo.Izo bank [emoji542] zinaongopa kwa wateja wao. Bank inayotoa hisa kubwa ni exim bank na wenyewe 8%.
Hey people, get some financial education. Gawio la hisa (dividend) na riba (interest) ni vitu viwili tofauti.Zinaongopa kivipi? Angalia tovuti yao hiyo ofa ipo na mwenyewe nimeenda kuongea nao hiyo ofa ipo.
View attachment 511561
Unawapata Solo la Hisa la Dar es Salaam (Dar es Salaam Stock Exchange) kwa kutumia Wakala (Broker).Hv kwa mfano nmenunua hisa asubuh sh 200 kesho yake zikapanda zikawa zinauzwa 500,nkataka kuuza wateja nawapatia wap?naomba majibu kitaalam zaid....nawasilisha
Gawio hilo ni kwa baada ya muda gani?Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
Viwanja hivyo vilikuwa maeneo gani?Mkuu uwekezaji mzuri ni kununua viwanja vilivyopimwa, kwa sababu ardhi inaongezeka thamani kila siku, mimi nilikuwa na viwanja vinne hapa dar ambavyo nilivinunua miaka miwili iliyopita kwa milioni nane nimeviuza majuzi kwa milioni 40
Ili unitafute na kunijua, mkuu Fanya shughuli zakoViwanja hivyo vilikuwa maeneo gani?
Nunua hisa zaidi usiitumiue hiyo hela. CRDB zitakuja kupanda mpaka 400/- we subiria tu.Viwanja hivyo vilikuwa maeneo gani?
Ni kwa nia njema tu, anyway potezea...Ili unitafute na kunijua, mkuu Fanya shughuli zako
Zaidi ya lile la kidole cha kati .Tusi la nguoni
Tunaelewa hilo fuata discussion vizuri.Hey people, get some financial education. Gawio la hisa (dividend) na riba (interest) ni vitu viwili tofauti.
Kuna haja ya kununua hisa kweli kwa mwendo huu??Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
Duuuuh kwakweli biashara ya fedha ni uoga.CRDB wametikisika kweli miaka hii miwili, maamuzi ya kutoweka hela za serikali huko yamewagusa sana.
Banc ABC wanatoa fixed deposit 13% hadi 16% sasa hivi kutegemea una kiasi gani.
Hey people, get some financial education. Gawio la hisa (dividend) na riba (interest) ni vitu viwili tofauti.
Mkuu uko sahihi kabisa..ardhi ukitunza vizuri itakutunza zaidi....naomba kama kuna mwenye kuitaji kiwanja tuwasiliane...!
Duuuuh kwakweli biashara ya fedha ni uoga.
Kwa maana hio mtu mwenye 1,000,000tsh akaenda kuifungia benki mwaka mmoja mzima haaangaiki wala nini katulia baada ya mwaka anapata faida 160,000tsh??? Seriously???(hapo ni makadirio ya juu)
Au hiyo rate ni kwa mwezi???
Manaake utajiona mjinga sana kama hio 1,000,000 akaishike mtu hata kama ni machinga au genge la sh. 1,000,000 baada ya mwaka atakua na hela ya chumba,amekula kila siku ya mwaka,na kama ana familia ya kawaida anahudumia na genge litakua limekua
Faida ya biashara ya hisa hutokana na kununua hisa kwa bei ndogo kisha kuuza kwa bei ya faida!Juzi Tanga Cement wametangaza shs 80 kwa hisa. so kwa hisa zangu 6000 napata gawio la shs 480,000/= Hapo bado Magufuli hajachukua zake!
Hii biashara ya hisa inahitaji uvumilivu wa kipekee!