The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Mkuu huna hata aibu, umecalculate thamani ya hisa zako against capital? profit unaijua?nakushauri uza hisa wekeza hata kwenye kubet, huko hakukufai kama hujui jiyo ni game, jifunze kucheza game za hisa ujue kuuza na kununua kwa muda muafaka...we hisa hazizidi hata milioni kumi zinakutoa roho wakat kuna watu ikidrop cents wanaeza ku file kufilisika. Nakushauri Bet kiutu uzima unaweka milioni unavuna laki 3 ndani ya dak 90