Gawio la shs. kwa hisa CRDB

Gawio la shs. kwa hisa CRDB

Mkuu huna hata aibu, umecalculate thamani ya hisa zako against capital? profit unaijua?nakushauri uza hisa wekeza hata kwenye kubet, huko hakukufai kama hujui jiyo ni game, jifunze kucheza game za hisa ujue kuuza na kununua kwa muda muafaka...we hisa hazizidi hata milioni kumi zinakutoa roho wakat kuna watu ikidrop cents wanaeza ku file kufilisika. Nakushauri Bet kiutu uzima unaweka milioni unavuna laki 3 ndani ya dak 90
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Izo bank [emoji542] zinaongopa kwa wateja wao. Bank inayotoa hisa kubwa ni exim bank na wenyewe 8%.
Zinaongopa kivipi? Angalia tovuti yao hiyo ofa ipo na mwenyewe nimeenda kuongea nao hiyo ofa ipo.

bankabc.jpg
 
Hv kwa mfano nmenunua hisa asubuh sh 200 kesho yake zikapanda zikawa zinauzwa 500,nkataka kuuza wateja nawapatia wap?naomba majibu kitaalam zaid....nawasilisha
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mm mambo yahisa cyajuagi polesana mkuu kama niaje chapa rapa
 
Hv kwa mfano nmenunua hisa asubuh sh 200 kesho yake zikapanda zikawa zinauzwa 500,nkataka kuuza wateja nawapatia wap?naomba majibu kitaalam zaid....nawasilisha
Unawapata Solo la Hisa la Dar es Salaam (Dar es Salaam Stock Exchange) kwa kutumia Wakala (Broker).
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
Gawio hilo ni kwa baada ya muda gani?
 
Mkuu uwekezaji mzuri ni kununua viwanja vilivyopimwa, kwa sababu ardhi inaongezeka thamani kila siku, mimi nilikuwa na viwanja vinne hapa dar ambavyo nilivinunua miaka miwili iliyopita kwa milioni nane nimeviuza majuzi kwa milioni 40
Viwanja hivyo vilikuwa maeneo gani?
 
Hey people, get some financial education. Gawio la hisa (dividend) na riba (interest) ni vitu viwili tofauti.
Tunaelewa hilo fuata discussion vizuri.

Obviously ni vitu viwili tofauti lakini kwa mwekezaji anaangalia returns hakuna haja ya kununua hisa at 5% return wakati benki inatoa 14-16% unless unaamini hiyo hisa itapanda value. Tena fixed deposit ni risk free kwa capital yako, tofauti na hisa ambayo inaweza kushuka au kupotea kabisa kama NICOL.
 
Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
Kuna haja ya kununua hisa kweli kwa mwendo huu??
 
  • Thanks
Reactions: SDG
CRDB wametikisika kweli miaka hii miwili, maamuzi ya kutoweka hela za serikali huko yamewagusa sana.
Banc ABC wanatoa fixed deposit 13% hadi 16% sasa hivi kutegemea una kiasi gani.
Duuuuh kwakweli biashara ya fedha ni uoga.
Kwa maana hio mtu mwenye 1,000,000tsh akaenda kuifungia benki mwaka mmoja mzima haaangaiki wala nini katulia baada ya mwaka anapata faida 160,000tsh??? Seriously???(hapo ni makadirio ya juu)

Au hiyo rate ni kwa mwezi???

Manaake utajiona mjinga sana kama hio 1,000,000 akaishike mtu hata kama ni machinga au genge la sh. 1,000,000 baada ya mwaka atakua na hela ya chumba,amekula kila siku ya mwaka,na kama ana familia ya kawaida anahudumia na genge litakua limekua
 
Hey people, get some financial education. Gawio la hisa (dividend) na riba (interest) ni vitu viwili tofauti.

Hapa yameongelewa mambo mawili tofauti usituone vilaza. Soma mada elewa.

Watu tunalinganisha faida haijalishi hio faida ni kwa gawio au kwa interest au kwa kuuza asset.

Kwahio unataka kutuambia pia hatujui tofauti ya hisa na kiwanja? Kuna mdau kaongelea alivopata(alivyojigeia tuseme) gawio lake mwenyewe toka kwenye uwekezaji wa viwanja vinne vya 8milion na kuuza 40miln. Ishu hapa ni hela ndo hamna mfukoni. Magufuli huyu we na magawio yako mahisa karatasi utayapika supu uyanywe hayo.
Je yanalipa? Kwa kiwango gani compared na investment zingine au pengine huo ni uwekezaji wa muda mrefu

Umeelewa ???
 
Duuuuh kwakweli biashara ya fedha ni uoga.
Kwa maana hio mtu mwenye 1,000,000tsh akaenda kuifungia benki mwaka mmoja mzima haaangaiki wala nini katulia baada ya mwaka anapata faida 160,000tsh??? Seriously???(hapo ni makadirio ya juu)

Au hiyo rate ni kwa mwezi???

Manaake utajiona mjinga sana kama hio 1,000,000 akaishike mtu hata kama ni machinga au genge la sh. 1,000,000 baada ya mwaka atakua na hela ya chumba,amekula kila siku ya mwaka,na kama ana familia ya kawaida anahudumia na genge litakua limekua

Inategemea sasa, kuna mtu anafanya kazi anaingiza milioni 3 kwa mwezi, anatumia 1 na hana muda wa kufanya biashara nyingine, fixed deposit ni njia isiyohitaji nguvu/muda na isiyokuwa na risk ya kuzikuza hela zako.
The same kwa watu ambao teyari wana biashara na wanatafuta sehemu ya kuinvest cash inayopatikana kama haina mpango wa kupanua biashara.

Yote inategemea na malengo yako na uteyari wako kukubali risk/kula hasara.
 
Juzi Tanga Cement wametangaza shs 80 kwa hisa. so kwa hisa zangu 6000 napata gawio la shs 480,000/= Hapo bado Magufuli hajachukua zake!

Hii biashara ya hisa inahitaji uvumilivu wa kipekee!
Faida ya biashara ya hisa hutokana na kununua hisa kwa bei ndogo kisha kuuza kwa bei ya faida!

Gawiwo sio tegemeo kuu la mnunuzi wa hisa.
====Nunua====Uza=====Nunua====Uza
Ndio unajikuta umepata faida.

Ukinunua hisa ambazo hazipandi thamani ndio hasara inakuangukia.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom